Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.

Wakati wagombea wao wanaenguliwa kwa makosa ya kujaza fomu mbona hiyo hoja haikutolewa, umeona mgombea yeyote wa CDM amepitishwa bila kupingwa kukwepa sanduku la kura
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Tema mate chini hujafa hujaumbika
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.
Kama ni hivyo kwanini mpaka sasa CCM ndio wanaongoza kwa Wagombea wao kupita bila kupingwa?
 
Wapinzani wanatapa tapa tu yan Prof akosee kujaza fomu!. Mmh kwanza huyu si alimtukan prof kule twitter
Inawezekana unaishi Burundi hivi ile mikata ilofungwa Kati ya serikali na makampuni ya madini ulokuwa unaipa tz 3% mrahaba unadhani maprof wa ccm hawakuwemo? Ngeleja akiwa waziri wa madini alifanya juhudi ikafika 4% alipigiwa makofi bungeni na maprof wakiwemo hivi kweli bado unawaamini hawa watu?
 
Wapinzani wanatapa tapa tu yan Prof akosee kujaza fomu!. Mmh kwanza huyu si alimtukan prof kule twitter
si ajabu, tumeona mahali mtu alikuwa diwani kwa miaka 10 lakini akaambiwa ameshindwa kujaza fomu! Yaani uzoefu wake wa vipindi viwili haukumsaidia kujaza fomu!
 
Safi Sana Boniface ni mwendo wa JINO kwa JINO mpaka kieleweke. Ikiwezekana ipelekwe hadi mahakama ya Rufaa kumtengua Kitila kama kakosea na NEC wakimbeba.
Awe makini, kibao kinaweza kumgeukia kwa kuwasilisha ushahidi feki. Kama baadhi ya wagombea wa CDM walitembea na photocopy mfukoni wakati original forms zilishatangulia NEC hata Boniface anaweza kuwa kauvaa mkenge!
 
Hahhahahahaha naona chadema wanakuja na mbinu ya kupitia madirishani kama unapendwa why usiache box la kura lifanye kazi yake mnakuja na vipingamizi vya kipuuzi haya ngoja tumsubiri huyu mlemavu mwingine tuone anamuwekea pingamizi nani.

Hujafa hujaumbika mlamu!
 
si ajabu, tumeona mahali mtu alikuwa diwani kwa miaka 10 lakini akaambiwa ameshindwa kujaza fomu! Yaani uzoefu wake wa vipindi viwili haukumsaidia kujaza fomu!
ina maana miaka yote hiyo fomu hazijawahi kuwa na mabadiliko au marekebisho. Unashangaa nini!
 
Back
Top Bottom