Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond ana umaarufu mkubwa Sana Zitto hata robo ajaamfikia tena uko kigoma ndo kabisa wanamuona Kama Mungu wao Kama CCM watamchagua kuwa mgombea wao atashinda kwa kura nyingi Sana.Atashinda kihalali kabisa.
Najua tido unaipenda Sana CHADEMA ila Kama CCM watamuweka DIAMOND PLATNUMZ kigoma basi DIAMOND atashinda mapema Sana kutokana na kukubalika Sana na watu wengi huko kigoma ndo kabisa wanamuona Kama Mungu wao.
Mnyika hawezi kugombanoa ubunge. SG ni FT job on its ownUbungo Marioo vs Mnyika. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ingawa siamini Sana hi habari ya mtoa mada Kama ni kweli DIAMOND PLATNUMZ anataka kugombea ubunge kwasababu DIAMOND ana pesa nyingi kuliko huo ubunge ana umaarufu mkubwa kuliko wanasiasa atafute ubunge kwa Nini? Professor Jay na sugu wameingia kwenye ubunge wakiwa hela hawana.Sina tatizo na kushinda kwa Diamondi au mwanaccm yoyote kushinda. Nina tatizo na mazingira ya mshindi anavyopatikana. Nahitaji tume huru ili niwe na uhakika na mshindi. Kama jinsi siku hizi tunavyoangalia mpira huku mfumo wa VAR ukitumika na kudhibitisha ushindi wa haki. Na kama tatizo la hao wananchi ni Zito kupenda zaidi huko Dar, je Diamond ndio atakuwa anaishi Kigoma?
Ingawa siamini Sana hi habari ya mtoa mada Kama ni kweli DIAMOND PLATNUMZ anataka kugombea ubunge kwasababu DIAMOND ana pesa nyingi kuliko huo ubunge ana umaarufu mkubwa kuliko wanasiasa atafute ubunge kwa Nini? Professor Jay na sugu wameingia kwenye ubunge wakiwa hela hawana.
Wewe utabaki kuwa ndugu na mtanzania
Tatizo mnavuka mipaka na kukosa uzalendo
Kabisa yaani. Wewe tuna mtazamo sawa. Diamond ni mkubwa kuliko ubunge. Akienda huko naona atapotea tu. Maana kwenye music yake yupo Ontop kabisa kwa sasa.Ingawa siamini Sana hi habari ya mtoa mada Kama ni kweli DIAMOND PLATNUMZ anataka kugombea ubunge kwasababu DIAMOND ana pesa nyingi kuliko huo ubunge ana umaarufu mkubwa kuliko wanasiasa atafute ubunge kwa Nini? Professor Jay na sugu wameingia kwenye ubunge wakiwa hela hawana.
Watapungua kwa kuwa watz wengi wanaimani na Rais Magu na wanajua hakuna wakumshinda toka upinzani na wabunge itategemea jimbo na jimbo ila tuseme ukweli wapinzani mwaka huu watapata tabu sana. Wakina Mbowe na genge lake wamalizie ruzuku za mwisho mwisho!
Hahaha... I wish i could be there in africaYou are the only curse in Africa
Show 1 tu ya siku 1 ya Diamond unazungumza zaidi ya mil 60 au mil 100. Halafu akae kusubiri mil 12+ kwa mwezi ya mbunge? Mijadala mingine bwana!Huyu atapingwa kwa kuwa ni CCM ila angekuwa chadema ingekuwa pouwa tu.
Cc Sugu na prof. Jay wao wako sawa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Watanzania tuna kazi nzito...sasa huyo Diamond anakwenda bungeni kufanya nini...
Tuliwashauri mtu kugombea ubunge walau awe kidato cha sita na div 3 au Diploma ya walau upper second.
Kujaza watu wa ajabu ajabu bungeni ndiyo matokeo yake hata kuhoji How & Why hakuna, uwezo wa kujenga hoja sifuri...just making numbers...na linaloumia hapo ni Taifa na si CCM.
Subirini na poshy qeen siku mumuone sanchoka akiwa Ndani ya mjengo naye
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app