Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.

Ninaamini kuwa 2020 Rais Dr Magufuli atazoa kura zote yaani siyo chini ya 90% ya kura zote! Believe me or not but this is the reality.
 
Kwa kweli haipendezi kutujazia watu wa ajabu ajabu bungeni kama Diamond platinums, kama issue ni wasanii wawe wabunge kuja watu wenye busara na Elimu ipo Kama wakina Mwana FA na AY

Yaani Diamond kujenga Madrasa na MSU kitu kigoma eti aongwe Ubunge hapana kwa kweli

Watoto wake katelekeza South Africa huko wanalelewa na wanaume wenzie ndio hasishindwe kutelekeza kigoma ?
Acha wivu.
 
Mbona Sugu ameweza?

Husimlinganishe Sugu na vitu vya ajabu mkuu

Sugu ameweza kwa Sababu ya Elimu yake na exposure kubwa ( aliishi Marekani kwa muda mrefu sana )

Sugu ameweza kwa Sababu alikua ni Mwanamziki na si mkata viuno kama huyo Diamond

Sugu alikua mwanamziki na sio mtu wa vijembe na kubana pua
 
Ndo uone waafrica akili zetu na perception zetu zinafanana.Sasa Diamond eti Rais and believe me hapa Tanzania inawezekana kabisa.Tena Mond akitaka kugombea ubunge Kigoma anashinda asubuhi kabisa.
Sio kweli fatilia kisa cha Mariga pale Kenya .
usituchukulie poa waafrica tunaoishi pande nyingine...
 
Ili watekwe ? Hii video wametengeneza chadema
Mkuu kawadanganye watoto wadogo! Hivi kweli wananchi wengi kwenye kituo cha kupigia kura wawe wanamtaka mgombea wa CDM wangeacha kufanyafujo kama kungekuwa na uonevu wa kiasi hicho??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom