FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Pasi na shaka atashinda, lakini mshika mawili moja humponyoka, ngoja tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaamini kabisa Zitto anaweza kushinda dhidi ya diamond?Hapo ndo Utajua nani ni wa Kigoma na nani wa Tandale.
Waganga wa Kigoma wana kazi mwaka huuu wa 2020Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.
Kwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda. Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
ni kweli mkuu ila ulimwengu wa sasa pesa ndio iko juu ya vyote hivyo, ndio maana hata mo dewji aliachana na hiyo kitu akajikita kwenye mikwanjaUheshimiwa kitu chengine kabisa mkuu.
Yaani hii ni jamii nzima duniani .Angalia Kim Kardashian umaarufu wao sioni impact yao kwenye jamii. Kuna wanasayansi wamegundua HIV wala siyo maarufu. Yaani jamii sijui tumeumbwa vipi. Yaani mimi naona tunakuwa attached zaidi kwa vitu vinavyotupa burudani.Yeah ni kweli. Ona mwanazuoni kama profesa, japo ana mchango mkubwa, atazidiwa umaarufu na msanii. Kanumba ni mfano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watamshawishije? Kuna kawizara nyeti ka kupanda ndege kwa wingi labda.Diamond ni mkubwa kuliko ubunge....
Utamharibia kazi zake tu. Ila ni mtanzania naye anayo haki ya kuwa kiongozi.
watu muhimu sana duniani hawajali kujulikana Ila wanatengeneza pesa ndefu pia. Maisha ya ufamous yanaharibu akili. Watu muhimu kwa uhai wa binadamu ni vyema wasiwe famous. Waache wanasiasa na wanamziki wachukue hizo nafasi.Yaani hii ni jamii nzima duniani .Angalia Kim Kardashian umaarufu wao sioni impact yao kwenye jamii. Kuna wanasayansi wamegundua HIV wala siyo maarufu. Yaani jamii sijui tumeumbwa vipi. Yaani mimi naona tunakuwa attached zaidi kwa vitu vinavyotupa burudani.
Unachagua kiuno unaacha akili? Halafu mnamlaumu Mungu kwa waafrika kuwa na mataifa ya kijinga!Diamond ana umaarufu mkubwa Sana Zitto hata robo ajaamfikia tena uko kigoma ndo kabisa wanamuona Kama Mungu wao Kama CCM watamchagua kuwa mgombea wao atashinda kwa kura nyingi Sana.
Abood na Mo walikuwa wanataka ubunge kwa ajili ya faida ya biashara zao.Ukiwa mbunge unaweza kutumia cheo chako usilipe Kodi pia kusafeguard biashara zako sasa DIAMOND PLATNUMZ atafute ubunge kwa kipi? Kama umaarufu anao mkubwa Sana Kama pesa anayo pesa nyingi mpaka wakati mwingine anatumia kutoa misaada kwa watu tumeona kigoma kutengeneza visima viwili, kachsngia madawati 600 tandale,katoa bima za afya kwa wamama 40, katoa bajaji 45 kwa walemavu n.k hakuna sababu za msingi zitakazomfanya DIAMOND PLATNUMZ agombee ubunge naona kabisa mtoa mada ametulisha matango pori.Mkuu naheshimu maoni yako, akina Abood, Mkono nk ni wabunge, je huyo Diamonds ana hela kuliko wao? Kuna wakati Mo alikuwa mbunge, je utajiri wake wa wakati huo ulikuwa mdogo kuliko huu wa Diamondi hivi sasa? Kumbuka diamonds bado haijawa na hela za ukweli ambazo kwake ubunge ni kitu kidogo, kwani ubunge pia utamuongezea ujiko kwenye huo usanii wake. Kimsingi huyu mleta uzi ameleta hii hadithi ili kufurahisha genge, lakini sio habari ya kweli.
uzi wa kijinga sana ktk mwaka huu mpyaNimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee.nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.
Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter na ndani ya jiji la Dar badala ya kuhudumia wanakigoma.
Magwiji hao wa siasa kigoma wanamtaka Diamond awe mgombea wao kupitia chama cha mapinduzi ,wana imani atawawakilisha Barbara,
Kama ni kweli huu ndio mwisho wa ndugu yetu Zitto aliehamishia majukumu yake Twitter.
Kila la kheri Diamond katika.utumishi wako wa ubunge, hakuna wa kukuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app