Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,054
- 1,415
Kingwendu vs Jafo kweli!!Kingwendu aliuza jimbo 2015 hana maana kabisa.
Ndiyo haya tena Mond vs Zito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingwendu vs Jafo kweli!!Kingwendu aliuza jimbo 2015 hana maana kabisa.
Ajaribu aone KG sio dodomaMzee baba be honest alafu pia weka ushabiki pembeni kutokana na umaarufu mkubwa aliyonayo DIAMOND na namna anavyopendwa na wanakigoma mbona anachukua vizuri tu Jimbo kwa kishindo kikubwa.
Kuna mkuu wa mkoa mahaba tu yamemfanya awepo kazini, uko sahihi Tz ya mahabaKupiga kura kwa kuongonzwa na mahaba na siyo kumuangalia mgombea huyu atafaa kuongoza ? JE ATAKUA CHACHU YA MABADILIKO ?
Acha stori za kutunga kwanza Kigoma yote tunataka tubadili uongozi.Kwanza kwa kile kitendo chake cha kuinadi ccm juzi hapa kigoma kuna watu wameshasema na walitoka hata kabla ya onyesho lake halija isha wakisema kuwa hawakujua kuwa lilikuwa ni show la ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli ila mbn hapa alipo ana pawa ya kutosha tuh
Mpuuzi wewe , nchi kuwa na raia sampuli yako haiwezi endelea ...Acha stori za kutunga kwanza Kigoma yote tunataka tubadili uongozi.
Hapo kwenu anakaa Philip Mpango, pia kutakua na Ndalichako, Nditiye, Elia Michael na wengine kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya Kigoma.
Zitto hazungumzii kabisa Barabara ya Nyakanazi Kigoma yuko busy na kazi na Bata.
Badala apambane na maendeleo ya mkoa wake yuko busy na masuala ya mikoa mingine, hapa wapinzani ndo hua mnafeli.
Kumbuka kilichomkuta James Lembeli mbunge wa Kahama mjini kwa kuegemea mambo ya kitaifa na kusahau masuala ya jimbo lake.
Umetoka nje ya mada kabisa, hoja zako zimejikita kwenye ukabila.Mpuuzi wewe , nchi kuwa na raia sampuli yako haiwezi endelea ...
Huyo Nditiye mbona ukienda kibondo kumechoka Zaid ya Jimbo lolote Tanzania Bara na Ni Mbunge wa ccm ... Nyie waha akili zenu Ni za Kijinga Sana muishie huko kwenu kasulu na kinondo pale kigoma mjini tuachieni Wamanyema na Wabembe... Maana Hawa ndio raia wenye exposure na kutoa wabunge wanaojielewa kichwani kuanzia Msambya, Kaboulou na Sasa zitto kabwe....
Hiyo kasulu yote haina hata lami kwa kilomita 100 na Jimbo Zima Ni wabunge wa ccm...
Hiyo kibondo haina lami walau kwa kilomita 15 wilaya nzima na wabunge wote ni ccm ... Kakonko ndio kabisaaaa Hakuna lami hata kilomita 1.... Unakuja hapa kupiga kelele kigoma mjini yenye lami mpaka chooni ...
Kwa taarifa yako waha tangu na tangu kuanzia wakina mbunge mporogomi mmekuwa mkiteuliwa mawaziri ila hamfanyi lolote kwenye majimbo yenu ... Huyo Nditiye Ni naibu waziri mawasiliano ila nenda kwenye Jimbo lake kibondo Kuna umasikini Kama Somalia ... Barabara hazipitiki...
Kumbuka zitto sio Mbunge wa mkoa wa kigoma ni Mbunge wa Jimbo la kigoma mjini , hizo barabara unazotaka uzijenge zipo kwenye majimbo ya wabunge wa ccm mbona huwaambii wazijenge ... Halafu mtu mzima ulivyokosa akili hujui hata wajibu wa Mbunge (Tangu lini Mbunge akajenga barabara)... Hizi elimu za shule za kata zinatupotezea vijana kuwa maridadi kichwani ... Mtu anakuona umevaa shati zuri na umeweka Avatar yako kumbe kichwani matope matupu.
Ningefarijika kama ungeleta changamoto za Jimbo la kigoma mjini ambapo zitto kabwe ndio Mbunge wa hapo ili tumpime na sio kutuletea changamoto za majimbo mengine Tena ya Ccm na kuanza kumshambulia hovyo ....
Mkoa wa kigoma hakuna Jimbo lenye maendeleo ya kila aina kupita Jimbo la zitto kabwe (Kigoma mjini ) ...
Mimi nimezaliwa Kigoma mjini , Hakuna kipindi Jimbo Hilo limepata maendeleo yaliyotukuka Kama kipindi Cha miaka mitano ya zitto kabwe (2015-2020)....
Natamani mkoa mzima wa kigoma ungekuwa na raia wanaojielewa Kama raia wa ujiji na kigoma mjini kwa ujumla.. Hata sifa za mkoa wa kigoma zinaletwa na hayo maeneo na sio huko kasulu na kibondo kwa washamba ...
Wanasiasa nguli ( kaborou ) na Msambya chimbuko ni huko , Huyo Diamond mama yake kwao pale Ujiji .... Wasanii chege, mwasiti, Ali kiba, n.k wote ni ujiji ....
Mastaa wote wa mpira kuanzia wakina kitwana manara, selemani Matola , Juma kaseja , Nteze John Rungu , n.k wote ni ujiji ....
Nimeandika kwa uchungu Sana akili za waha zilivyo za kipuuzi zinaweza kuthubutu kumuweka diamond on behalf of kichwa zitto kabwe... Huu ujinga ubaki huko kwenu Kasulu na kibondo mlikojaza ujinga na umasikini ...
Sent using Jamii Forums mobile app
uraisi kugombea sio issue sana.Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.
Kuwaambia waha hamna akili ni ukabila ??? Kumbe naongea na jitu ambalo liko hapa kutetea vyama ?? ... Mimi sio mwanachama wa chama chochote nimeongea based on your ujinga ...Umetoka nje ya mada kabisa, hoja zako zimejikita kwenye ukabila.
Bahati mbaya sie CCM hatuamini ukabila, tunaamini katika umoja wa kitaifa.
Kingine hoja zako zinakinzana zenyewe mwanzoni umesema Zitto kaleta maendeleo mwishoni ukaja kusema maendeleo sio kazi ya mbunge.
Tulia tafakari hoja zako na uandike kwa utulivu.
ACHA UKABILA
Igunga hawawezi chagua malaya ubhebhe
Kuwaambia waha hamna akili ni ukabila ??? Kumbe naongea na jitu ambalo liko hapa kutetea vyama ?? ... Mimi sio mwanachama wa chama chochote nimeongea based on your ujinga ...
Ningekuona wa maana ungeniambia zitto kaleta maendeleo kivipi as per majukumu yake ya kibunge na sio hivyo mnavyotaka Nyie.
Nimekuporomoshea mambo kibao uyajibu ila hujajibu hata moja , stupid . Nakuuliza Tena taja Jimbo hata moja hapo mkoa wa kigoma lenye maendeleo kupita Jimbo la zitto kabwe ... Huko kwenu Kasulu Ni vumbi Hadi kwenye meno ... Kibondo na kakondo hivyo hivyo ... Huko ndio mmejazana washamba sampuli yako ambao mnamuweka zitto mizani sawa na Diamond ... Zitto mwenye level ya wakina Malema Nyie vichaa mnamuweka mizani sawa na Diamond ...
Tumisema waha hamna akili mnasema tunaleta ubaguzi ... Narudia Tena Mimi sio mwanachama wa chama chochote naongea kama mtanzania mzawa wa kigoma mjini .. Naongelea ninakotoka...
Hizo barabara za kuunga kigoma na mikoa mingine ziko chini ya wabunge wa ccm , wafuate wao wazirekebishe ... Jimbo letu la kigoma mjini changamoto ya kuwa accessible na barabara imeshatatuliwa kitambo , barabara zote za kuingia kigoma mjini Ni lami ... Treni ipo ... Uwanja wa Ndege upo ... Barabara ya uwanja wa Ndege Ni lami kwa Mara ya kwanza tangu nchi imepata Uhuru ....
Sasa ninawashangaa kutwa kuja hapa kumponda zitto wakati amefanikisha ujio Wa maendeleo zaidi ya asilimia 90 kwenye Jimbo lake ... Huko kwenu kibondo , kasulu na kakonko ambako mvua zikinyesha hakupitiki... Barabara shida... Kiangazi vumbi ... Maji shida ... Ulinzi Hakuna ... Ujambazi mpaka leo kuteka magari... Ila sijawahi kuwaona mkija hapa kuwalaumu au kuwakumbusha wabunge wenu wa ccm wafanye kazi Yao ipasavyo... Lawama zote mnazipeleka kwa zitto kabwe Kama vile ni Mbunge wa Mkoa mzima ... Pambaneni na wajinga wenzenu huko vijijini ... Huku mjini tuachieni ... Ukute hata hujawahi kufika kigoma mjini mshamba wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu kale makapi ya mawese ulale maana hata uwezo wa kupata uwezo wa kula ugali wa muhogo au ulezi hunaAcha stori za kutunga kwanza Kigoma yote tunataka tubadili uongozi.
Hapo kwenu anakaa Philip Mpango, pia kutakua na Ndalichako, Nditiye, Elia Michael na wengine kwa ajili ya kuharakisha maendeleo ya Kigoma.
Zitto hazungumzii kabisa Barabara ya Nyakanazi Kigoma yuko busy na kazi na Bata.
Badala apambane na maendeleo ya mkoa wake yuko busy na masuala ya mikoa mingine, hapa wapinzani ndo hua mnafeli.
Kumbuka kilichomkuta James Lembeli mbunge wa Kahama mjini kwa kuegemea mambo ya kitaifa na kusahau masuala ya jimbo lake.
Watu wajinga ndio watamchagua Diamond kuwa mbunge wao, watu wenye akili katu hawawezi kumchagua mtu kuwa mbunge kwa sababu ya umaarufu wake. Ukiwasikiliza wasanii wa Bonge kwa kuzingatia tungo zao za muziki na jumbe zilizomo kwenye tungo zao,, ni wachache mno wanao-qualify kuingia kwenye siasa. Wengi wao ni waburudishaji tu kama alivyokuwa Komba na Hadija Kopa.Kwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda. Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.
Comments reservedNimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe.
Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter na ndani ya jiji la Dar badala ya kuhudumia wanakigoma.
Magwiji hao wa siasa kigoma wanamtaka Diamond awe mgombea wao kupitia chama cha mapinduzi ,wana imani atawawakilisha Barbara,
Kama ni kweli huu ndio mwisho wa ndugu yetu Zitto aliehamishia majukumu yake Twitter.
Kila la kheri Diamond katika.utumishi wako wa ubunge, hakuna wa kukuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na Heshima ukinikuta chumbani kwa Mama yako nikiwa ndani ya taulo.
Hizi Ni barabara mnazotaka kigoma iunganishwe ... Ziko kasulu , kakonko na kibondo ambapo kote huko Kuna wabunge wa ccm...Umetoka nje ya mada kabisa, hoja zako zimejikita kwenye ukabila.
Bahati mbaya sie CCM hatuamini ukabila, tunaamini katika umoja wa kitaifa.
Kingine hoja zako zinakinzana zenyewe mwanzoni umesema Zitto kaleta maendeleo mwishoni ukaja kusema maendeleo sio kazi ya mbunge.
Tulia tafakari hoja zako na uandike kwa utulivu.
ACHA UKABILA
Anataka awaaminishe wajinga kuwa Zitto ndio sababu ya maendeleo duni Kigoma.Hizi Ni barabara mnazotaka kigoma iunganishwe ... Ziko kasulu , kakonko na kibondo ambapo kote huko Kuna wabunge wa ccm...
Naomba uniambie au uweke walau picha kwenye Jimbo la kigoma mjini chini ya zitto kabwe sehemu yenye barabara Kama hizo ... Ukifanikisha kuweka walau barabara moja pale kigoma mjini chini ya zitto yenye barabara za hivyo nitamuomba Maxence Mello aniondoe Jamii forum .View attachment 1312205View attachment 1312206View attachment 1312207
Sent using Jamii Forums mobile app