Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Hii mbombo kuna aliyeichokoza. Kwa hakika hii mbombo ni nkafu.

Ushauri wa bure CCM ombeni poo. Watanzania ni wenye kusamehe na kupenda maridhiano.

Shupaza yenu ya shingo imetuacha hoi wengi kwa muda mrefu.

Hata hivyo chelewa ufike.

Hiiiii bagosha!
 
Mkuu huyo Judge alifanya nini?
Huyu alikuwa mkurugenzi kwenye tume ya uchaguzi 2015 kabla hajaondolewa na JK dakika za mwisho kabisa za uteuzi wagombea kwa kuteuliwa kuwa Judge.

Alionyesha weledi mkubwa sana kwenye kubadilisha tume walau ionekane inatenda haki kwa wagombea.

Baada ya Lowassa kusema aachiwe tume JK aliwaondoa wakurugenzi wote wa tume na kuteua wapya.

Akina Kailima Ramadhani, Hasina Omary ambaye anaonekana kanuna kwenye ile picha ya jana inayotrend mitandaoni yule white hii timu ilifanikisha goli la mkono vizuri sana japo haikubariki huu ushenzi wa kutekana tekana.

Hii tume inaonekana the whole team is incompetent and visibly partial
 
Mtu mwizi jambazi halafu anapitishwaaa
Dah

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Wafanye maridhiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…