Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Watu kwa usahaulifu, humu JF situlisoma kuachiwa majimbo 20. Mlijiuliza jinsi watavyoachiwa? Jiulizeni Emanuel ni chama gani? Kwa maana halisi ya swali hili. Sio kukimbilia ushabiki maandasi.
 
Ata Mie nilidhani inabidi uhukumiwe kifungo cha miezi sita.. nadhani yeye ilitakiwa ahukumiwe miezi 4 but all in all.. kukwepa kulipa Kodi ndio inaleta ukakasi, unless labda Taasisi ndiyo ilifanya kosa Hilo na si yeye binafsi na kama ujuavyo serikali INA mkono mrefu.
 
Sasa mbona Deo Mwanyika ni mwanasheria mzuri alisahauje hilo kosa? Lakini huyu anajuana na TL mana walikuwa wote upande wa ACCACIA.
 
Haya ndiyo mapingamizi ya maana siyo mapingamizi ya kitoto kama kutokuweka picha au kuandika jina kwa herufi ndogo
Kipengele J kinasema Hajaambatanisha picha kwenye fomu za uteuzi
 
Mbowe aliomba maridhiano kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, unakumbuka majibu yake?
 
Huyo Masonga siyo mwasheria, jamaa ameseoma rural development pale SUA .
 
Yaani comments ya kipuuuzi kuwahi kutokea kwa hiyo unaona pingamizi ni Jambo la maaana sana.
 
Hiki ni Kipimo kama kuna TUME HURU YA UCHAGUZI,na iwapo MUHIMILI IMARA !!!
Malawi ni nchi ndogo ,lakini Mamlaka zilionyesha kuwa huru kipindi cha uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…