Uchaguzi 2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

Hilo ni pingamizi lenye mashiko. Mlete thread fatilia alaf tuletee mlejesho, kitakachoamuliwa
 
Kwa hiyo Magufuli ndio basi tena
[emoji23][emoji23] unapigilia jibu mstari....
Labda sheria ibakwe

Na hili amekuwa akilipigia kelele Sana Tundu A. Lissu kuwa sheria mbovu mbovu izi ni mitego kwao...
 
Chief swali lako zuri ila concern yangu hili ni muvi ngoja tulitazame majibu tutapata mwishoni kk
 
Deo Mwanyika of Bulyanhulu convicted of Tax Evasion
 
Duuuu mwanasheria tunaomba utujuze vizuri. Aliitia hasara serikali kwa kufanya embezzlement kwenye public funds au kwa kufanya nini???. Ninachofahamu huyo alikuwa CEO wa migodi ambayo serikali haikupata stahiki yake katika kodi. Pamoja na mambo mengine jamaa alipigwa money laundering lakini msingi wake ni tax evasion kama predicate offence kulingana na sheria ya utakatishaji fedha. Please hebu tuelimishe kidogo
 
Fyeka fyeka ya wajumbe iliwapagawisha wakaanza pitisha pitisha watu hovyo tu. 😂 😂 😂 😂
 
Muda utaongea, Ni muda wa kuangalia kama kwl kuna muhimil uliojichimbia chin zaidi
 
Uchaguzi huu ukiisha tume inapaswa kutafakari sana na kufanyia marekebisho kasoro nyingi zilizojitokeza.

Nikiyaona haya yanayotokea namkumbuka sana Judge Malaba.
Naam ni upuuzi kama huo wa tume ulisababisha Kifo cha Akwilina. Mkurugenzi anafunga ofisi na kufanya atakavyo, alafu hafanywi kitu eti
 
Tueleze pia kisheria nini maana ya faini ya sh milioni moja au kifungo Cha miezi 6.
 
Hivi ilikuwa 1.5b au 1.5m?? Tuwe makini na maandishi.
The Kisutu Resident Magistrate Court has today ordered the Pangea, North Mara Exploration and Bulyanhulu Gold Mines President Deodatus Mwanyika (56) and his co-accused to pay compesation of Sh 1.5billion after they were found guilty of tax evasion.

The court also ordered the trio to pay an additional fine of Sh1.5 million fines or serve a jail term of four months.

The Resident magistrate Godfrey Isaya arrived at the decision after the accused pleaded guilty through a plea bargain arrangement at the office of the DPP.

Others also convicted alongside Mr Mwanyika on economic crimes charges number 37 of 2018 included Bulyanhulu Corporate affairs manager, Alex Lugendo (43) and the managing director of Pangea, North Mara and Bulyanhulu mines, Assa Mwaipopo (57).

Before the judgment was reach the state led by Paul Kadushi , Shadrack Kimaro and Wankyo Simon, claimed the case had come for judgment after the accused entered a guilty plea with the Director of Public Prosecution.

Out of the 39 charges, the accused faced one charge of not paying taxes worth $9,309,600 to the Tanzania Revenue authority

Source: The Citizen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…