Kama kweli haya tuliyoambiwa ni kweli, basi pigo kubwa litakuwa kwa mzee Msekwa, na ushindi mkubwa utakuwa kwa TREKTA. Kwani trekta lilikuwa linajua kukomboa majimbo, lakini sasa ni wakati mgumu kwa CCM, ngoja tusubiri yasije kuwa ya mjini magharibi wakatangaza baadae tume ya uchaguzi ikageuza kibao.
Matokeo rasmi kesho. Hii ni kadiri ya mkurugenzi wa uchaguzi huko Tarime.
Ila ah! TBC1 wametangaza mjini Tarime hakuna umeme. Ndiyo maisha yao ya kila siku, au ni huu mgao unaoendelea au something fishy?
habari nilizo nazo ni kuwa chadema wameshajihakikishia ushindi wa udiwani wa tarime mjini, na wanataka after one hour watangaze matokeo ya ubunge, wao wanadai kushinda kwa zaidi ya 78%
usinidai chanzo cha habari
Matokeo rasmi kesho!!!!? πππππ
Chama cha Majambazi na Mafisadi wanataka kufanya ujambazi wao wa kuiba kura. kwani kura haziwezi kuhesabiwa kwa kutumia makarabai ambayo yana mwanga wa kutosha tu na taa nyingine za aina mbali mbali?
KLHN inaweza kutangaza kwa uhakika kuwa CHADEMA imeshinda kiti cha Udiwani baada ya asilimia zaidi ya 80 ya kura zote kuhesabiwa. Hadi hesabu za mwisho zitakapotolewa Chadema itakuwa imeshindwa kwa kati ya asilimia 55 na 60 ya Udiwani.

Yes, but what is chadema doing ili kuhakikisha hawa mabaladhuli hawaibi kura na kubadilisha matokeo ya ubunge!!
Jamani mbona mnacheza danadana na kitu ambacho ndio kimepeleka makada wote wa ccm huko tarime- yaani kiti cha ubunge. Ccm wakishindwa udiwani hawatajali sana kama wakishindwa ubunge, sasa what is chadema doing to ensure huo ushindi wa ubunge unalindwa!!!!!!