Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Kama kweli haya tuliyoambiwa ni kweli, basi pigo kubwa litakuwa kwa mzee Msekwa, na ushindi mkubwa utakuwa kwa TREKTA. Kwani trekta lilikuwa linajua kukomboa majimbo, lakini sasa ni wakati mgumu kwa CCM, ngoja tusubiri yasije kuwa ya mjini magharibi wakatangaza baadae tume ya uchaguzi ikageuza kibao.

Lile liliitwa TINGATINGA
 
Matokeo rasmi kesho. Hii ni kadiri ya mkurugenzi wa uchaguzi huko Tarime.

Ila ah! TBC1 wametangaza mjini Tarime hakuna umeme. Ndiyo maisha yao ya kila siku, au ni huu mgao unaoendelea au something fishy?

Matokeo rasmi kesho!!!!? 😕😕😕😕😕

Chama cha Majambazi na Mafisadi wanataka kufanya ujambazi wao wa kuiba kura. kwani kura haziwezi kuhesabiwa kwa kutumia makarabai ambayo yana mwanga wa kutosha tu na taa nyingine za aina mbali mbali?
 
kata 20 tu na tayari 18 zimetangaza matokeo, why kesho au ndio wanataka kuwasiliana na kibaki kwanza
 
Haka kamessage kanarandaranda pale Mwananchi home page sehemu ya breaking news "Chadema yafanya kufuru Tarime"
 
for the moment hakuna live tv yoyote toka Tarime. Alichosema Mhe. Zito sio kutangaza matokeo bali mwelekeo. Wao wanalaptop iliyosanya matokeo ya kata 18 kati ya 20 na chadema wameongoza. Itakuwa ni muujiza CCM kushinda Tarime kwa hizo kata 2 ambazo matokeo hayajapatikana.
 
habari nilizo nazo ni kuwa chadema wameshajihakikishia ushindi wa udiwani wa tarime mjini, na wanataka after one hour watangaze matokeo ya ubunge, wao wanadai kushinda kwa zaidi ya 78%

usinidai chanzo cha habari
 
Udiwani Chadema 58.3 %, CCM 38.1 na NCCR-Mageuzi 1.3 % na DP 0.3 %
 
Kwa matokeo niliyopata yako hivi:

UDIWANI:

CHADEMA: - 58.3%

CCM: - 38.1%

NCCR: - 1.9%

DP: - 0.3%

na mpaka sasa upande wa Ubunge inasemekana iko almost CHADEMA 62% na CCM 33% (Not confirmed!)
 
Haya ni matokeo rasmi baada ya majumuisho .

Chadema ccm cuf nccr dp
58.0% 38.8% 1.0% 1.9% 0.3%

turnout.
43.8%
 
Matokeo rasmi kesho!!!!? 😕😕😕😕😕

Chama cha Majambazi na Mafisadi wanataka kufanya ujambazi wao wa kuiba kura. kwani kura haziwezi kuhesabiwa kwa kutumia makarabai ambayo yana mwanga wa kutosha tu na taa nyingine za aina mbali mbali?

Tunaomba Mh. Zito au yeyote toka CHADEMA atufahamishe hatua wanazochukua ili kukabiliana na possible fraud inayoweza kufanywa na majambazi wa CCM ili kubadili matokeo ya kiti cha UBUNGE. Mfano kuweka wana-chadema wengi wakeshe wakiwa wamezunguka kituo/vituo vya kuhesabia kura. Kuhakikisha hakuna mtu anayeingia ndani ya vituo hivyo bila ya kusindikizwa na wana-chadema wana-chadema wasiopungua watatu, ikitiliwa maanani kwamba wakimtumia mwana-chadema mmoja tu kunauwezekana wa majambazi kutaka kumhonga ili wafanye kifuru wanayodhamiria.

Najua CCM wangependa kuchukua viti vyote - kile cha ubunge na hicho cha udiwani. Lakini they are mostly interested and desperate for hicho cha ubunge.

Tusijeshangaa wakasema kwamba hizo kata 2 zilizobaki zina wapigakura 60% ya wapiga kura wote wa Tarime and CCM has won 90% katika hizo kata hence CCM mshindi wa ubunge. These devils will try to pull out all the stops ili washinde.
 
KLHN inaweza kutangaza kwa uhakika kuwa CHADEMA imeshinda kiti cha Udiwani baada ya asilimia zaidi ya 80 ya kura zote kuhesabiwa. Hadi hesabu za mwisho zitakapotolewa Chadema itakuwa imeshindwa kwa kati ya asilimia 55 na 60 ya Udiwani.
 
Mkuu;

Tafadhali fafanua, mbona sikuelewi?
 
KLHN inaweza kutangaza kwa uhakika kuwa CHADEMA imeshinda kiti cha Udiwani baada ya asilimia zaidi ya 80 ya kura zote kuhesabiwa. Hadi hesabu za mwisho zitakapotolewa Chadema itakuwa imeshindwa kwa kati ya asilimia 55 na 60 ya Udiwani.

Vipi tena mkuu vidole havina mfupa?
 
Yes, but what is chadema doing ili kuhakikisha hawa mabaladhuli hawaibi kura na kubadilisha matokeo ya ubunge!!

Jamani mbona mnacheza danadana na kitu ambacho ndio kimepeleka makada wote wa ccm huko tarime- yaani kiti cha ubunge. Ccm wakishindwa udiwani hawatajali sana kama wakishindwa ubunge, sasa what is chadema doing to ensure huo ushindi wa ubunge unalindwa!!!!!!
 
KLHN inaweza kutangaza kwa uhakika kuwa CHADEMA imeshinda kiti cha Udiwani baada ya asilimia zaidi ya 80 ya kura zote kuhesabiwa. Hadi hesabu za mwisho zitakapotolewa Chadema itakuwa imeshindwa kwa kati ya asilimia 55 na 60 ya Udiwani.

Mwanakijiji vipi tena? Ulimaanisha hicho au ndio kumalizia week end?
 
wewe mwanakijii angalia sana hizi ni dakika za majeruhi mambo ya kuteleza vidole hatutaki! wenzako tangu asubuhi tumekesha hivyo tuache tulale salama
 
Yes, but what is chadema doing ili kuhakikisha hawa mabaladhuli hawaibi kura na kubadilisha matokeo ya ubunge!!

Jamani mbona mnacheza danadana na kitu ambacho ndio kimepeleka makada wote wa ccm huko tarime- yaani kiti cha ubunge. Ccm wakishindwa udiwani hawatajali sana kama wakishindwa ubunge, sasa what is chadema doing to ensure huo ushindi wa ubunge unalindwa!!!!!!

Aste aste hilo neno lina maana kali kama hulijui
 
Yes, but what is chadema doing ili kuhakikisha hawa mabaladhuli hawaibi kura na kubadilisha matokeo ya ubunge!!

Jamani mbona mnacheza danadana na kitu ambacho ndio kimepeleka makada wote wa ccm huko tarime- yaani kiti cha ubunge. Ccm wakishindwa udiwani hawatajali sana kama wakishindwa ubunge, sasa what is chadema doing to ensure huo ushindi wa ubunge unalindwa!!!!!!

Sasa hivi ITV walimuuliza msimamizi wa uchaguzi bw. Kagenzi juu ya matokeo. Anasema anasubiri apate matokeo yooote kabisa ndio atangaze. Alipoulizwa zaidi kama hawezi kutangaza hata yale aliyokwisha pelekewa, alikataa kufanya hivyo.
 
na akaendelea kudai eti mvua imenyesha, na kuwa magari yenye masanduku ya kura yamekwama sehemu mbalimbali, wanashauriana na kamanda Tossi namna ya kunasua hayo magari yenye masanduku ya kura! MNAONA MSETO HUO?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom