Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Kuna habari za chama cha mafisadi kushinda kiti cha udiwani cha uru mashariki huko moshi kwa margin ya kura 300 tu! Inasemekana kuwa wizi na faulu nyingi zimewaibua kidedea mafisadi
 
na akaendelea kudai eti mvua imenyesha, na kuwa magari yenye masanduku ya kura yamekwama sehemu mbalimbali, wanashauriana na kamanda Tossi namna ya kunasua hayo magari yenye masanduku ya kura! MNAONA MSETO HUO?

Lakini kura huwa zinahesabiwa kwenye kituo husika na msimamizi mkuu wa uchaguzi anapewa total count na wasimamizi wadogo wa kila kituo, baadaya vyama washiriki kukubaliana na matokeo.

Hii process nadhani huwa wanafanya hata kwa kutumia simu kama sikosei sidhani kama unahitaji masanduku yote ya kura yafikishwe jimboni.

Correct me if I am wrong.
 
na akaendelea kudai eti mvua imenyesha, na kuwa magari yenye masanduku ya kura yamekwama sehemu mbalimbali, wanashauriana na kamanda Tossi namna ya kunasua hayo magari yenye masanduku ya kura! MNAONA MSETO HUO?

Yale yale ya Samuel Kivuitu na ECK waliomrudisha Kibaki madarakani I am scared sisi wapenda democrasia tunaweza shangazwa.......ngoja tusubirie tume HURU ya uchaguzi itangaze hata kama waahirisha kwa mwezi mzima, tumeona kwa Mugabe...
 
Muda huu napopost hii thread gari za kubeba masanduku ya kura kutoka vijijini zimekwama njiani kutokana na mvua iliyonyesha usiku huu.Magari machache kati ya mengi yameshafika kituo kikuu cha kujumlishia kura zote.

Hata hivyo kura zote zilihesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo kubandikwa.Awali ilipangwa kuwa matokeo ya udiwani yangetangazwa saa tatu usiku huu na yale ya udiwani yangetangazwa saa sita usiku.Kutokana na kuchelewa kufikishwa kwa masanduku na form 21A huenda matokeo yakachelewa lakini hayatafika asubuhi.

Stay tuned
 
Aste aste hilo neno lina maana kali kama hulijui

Nadhani muda muafaka umefika kwa watanzania ku-express feelings zetu dhidi ya CCM. But according to my kamusi baladhuli ni numbskull or blockhead....now you tell me if serikali yetu ya CCM inayo-sign mikataba mibovu ya madini, inayotetea ufisadi in all its forms, kwamba sio mabaladhuli.

Ni huu upole na unafiki wa kuwachekea na kuwapigia makofi akina Kikwete badala ya kuwazomea ndio unaolifikisha taifa letu hapa tulipo.
 
Muda huu napopost hii thread gari za kubeba masanduku ya kura kutoka vijijini zimekwama njiani kutokana na mvua iliyonyesha usiku huu.Magari machache kati ya mengi yameshafika kituo kikuu cha kujumlishia kura zote.

Hata hivyo kura zote zilihesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo kubandikwa.Awali ilipangwa kuwa matokeo ya udiwani yangetangazwa saa tatu usiku huu na yale ya udiwani yangetangazwa saa sita usiku.Kutokana na kuchelewa kufikishwa kwa masanduku na form 21A huenda matokeo yakachelewa lakini hayatafika asubuhi.

Stay tuned

Which is which?
 
BREAKING NEWS.

Matokeo ya udiwani hayajatangazwa rasmi lakini taarifa za kuaminika pasipi shaka yoyote ni kuwa mgombea wa CHADEMA KITI CHA UDIWANI AMEMWANGUSHA MGOMBEA WA CCM.

Idadi ya kura za ubunge katika asilimia 53% ya vituo vya kupigia kura inaonesha kuwa Mgombea wa CHADEMA anaongoza.

Stay tuned
 
TBC1 wako live? Nilisikia wao wataleta habari za uhakika na live from TRM.

Nadhani watatangaza live wakati msimamizi atakapokuwa anatangaza matokeo... saa hii, ninapoandika haya naangalia TBC1 wanaonyesha tamthilia
 
na akaendelea kudai eti mvua imenyesha, na kuwa magari yenye masanduku ya kura yamekwama sehemu mbalimbali, wanashauriana na kamanda Tossi namna ya kunasua hayo magari yenye masanduku ya kura! MNAONA MSETO HUO?

Asianze longolongo zakew, masanduku ya kura ya nini? Fomu za matokeo zinamtosha kutangaza matokeo
 
Breaking News live toka Tarime zimerushwa na ITV na Radio One toka kwa msimamizi wa uchaguzi Tarime nothing official. ITV na Radio One watatangaza live tena kabla ya saa 6 usiku huu. Kaeni mkao wa kula.
 
Kuna wakukaa mkao wa kula(washindi) na wengine kulia(walioshindwa)......Usisahau kuna makundi mawili hapa.
 
star tv wanatangaza sasa hivi, angelo mwoleka anaripoto toka tarime, vituo vyote vya tarime mjini chadema wameshinda kasoro kituo kimoja tu ambacho ccm wamepta around 300, chadema 78. kwa jinsi anavotangaza ni wazi hata huko kwingine chadema watashinda
 
Hayo mamboya vituo vya mjini Kiteto ilikuwa hivyo hivyo
 
Lile liliitwa TINGATINGA

..msekwa ni msomi zaidi ya mwanasiasa...ni mzuri sana kwenye warsha na mijadala ya kisomi,hajui lugha ya mwananchi wa kawaida.....not a politician!!

makamba ni msanii au mchekeshaji zaidi kuliiko mwanasiasa....angefaa zaidi kwenye idara ya propaganda na uenezi..kuliko ukatibu mkuu....ambao unahitaji mtu makini......msekwa angefaa ukatibu mkuu zaidi ya makamba...na afteral wakati wa mwalimu alifanya kazi ya KATIBU MTENDAJI ..TANU na baadaye CCM vizuri tu!
 
Kuna habari za chama cha mafisadi kushinda kiti cha udiwani cha uru mashariki huko moshi kwa margin ya kura 300 tu! Inasemekana kuwa wizi na faulu nyingi zimewaibua kidedea mafisadi

Huko Moshi mbona wote (isipokuwa Philemon Ndesamburo Kiwelu) walisharudi CCM? Kwa hali ilivyo Moshi sasa hivi upinzani hawawezi kushinda kiti chochote bila msaada wa CCM. Hata Ndesamburo aliposhinda last time ilitokana na hasira za wana-CCM za kulazimishiwa shemeji wa Mkapa aitwaye Elizabeth Minde, wakalipiza kwa kumchagua Ndesa. Na mwaka 2010 wakimweka tena Mama Minde basi Mzee Ndesa ataendelea kupeta kama kawa.
 
Sorry!!
Kidding !!wajamani ni kuwapinda tu presha watu si kweli.
 
Lile liliitwa TINGATINGA

Hakuna cha Tingatinga wala Bulldozer, ukweli ni kwamba mazingira ya Tarime ni magumu sana kwa mchezo wao mchafu wakuiba kura, wamefanya research ya wameona kuiba kura tarime cost yake itakuwa kubwa kuliko benefit kutokana na nature ya hawa jamaa. Ila ngoma bado mbichi wanaweza kuangalia kipi bora kuiba kura na kuwaacha askari wote kule walinde amani milele au wafanye haki na kuacha wana Tarime wajiamulie. Tungoje hiyo kesho, huenda tactic ni kuiba ila mpaka JK atoe maoni yake kwanza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom