Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Tbc live- mwera (chadema)aaaaaaaaa! 34,500 votes! Amekabidhiwa cheti cha ushindi
hongera chadema!!!!!!!!! Ushindi kwa demokrasia!

Phweeeeeeeeeeeeeeee hahahahahahahha jioni leo nawapongeza CHADEMA, wine, whysk, brand,champagne you mention them!! Hongeraaaaaaaaaaaaa
 
Mungu wape uvumilivu watakaomia Moyoni,wape nafuu ya haraka ili tuendeleze mijadala ya kuendeleza nguvu ya mabadiliko.

Nguvu ya Umma imedhihirisha ufanisi wake,shetani Ameshindwa
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa!

Kuna watu watalia hapa,ila kwa sababu ya kuwa nyuma ya PC itaondoa aibu ya mtu mzima kulia

Ben, hizi taarifa tumezisubiri mno. Tupe hakika kwani tumeusubiri kwa hamu mno huu ushindi wa CHADEMA
 
Huku tunapopelekwa siko kabisa, CHADEMA wameshinda lakini kumeripotiwa mapambano makali baina ya WanaCHADEMA na Polisi.

Kwanini mkuu? Huu ulikua ushindi dhidi ya polisi wasio na chembe ya uzalendo.

Wale waliokejeli taarifa za ushindi nina imani bado watakua na ujasiri wa kusimama hapa leo
 
tbc live- mwera (chadema)aaaaaaaaa! 34,500 votes! Amekabidhiwa cheti cha ushindi
hongera chadema!!!!!!!!! Ushindi kwa demokrasia!



tarime hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Thanx wana tarime kwa kazi nzuri....

Huo na uwe ni mwanzo tu waheshimiwa wanajf.
 
Matoke tayari yametangazwa na tume
Mwera 34,545 na Kangoye 28 669

SINGLE D, jimbo lilikuwa na wapiga kura takriban ya laki na 20 sasa kwa matokeo haya ina maana kura za Mwera na Kangoye wamepata kama sitini elfu na hizo zingine wamegawana akina Mbatia na Mtikila???!!!!

TUPATIE STATISTICS AMBAZO ZINAZOJIBU MASWALI KAMA HAYA MKUU.

NISEME TU KUWA HAPA BADO SIJAUONA UKWELI WA MATOKEO KUPITIA KWAKO.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Hizi ni kutoka kwa Tume au kwa mawakala wa vyama?

Hesabu haibadiliki mku! Hata kama ni kutoka kwa mawakala,kinachofuata nataka nijue huyo wa Mtikila amepata ngapi? Yaani hapo mtikila kapata kichapo mara mbili.Heko CHADEMA,Hongereni Tarime
 
Aibu kuwa kwa Tanzania, verryyy shame kwa CCM na Serikali yake.

Yaani uchaguzi mdogo kama ule na nguvu ya dola ilivyotumika ni aibu tupu kwa CCM na Dola, hadi Mabalozi na Waangalizi walazime kushuhudia uchaguzi, jamani jamani, safari bado ndefu mno.

Hongera WanaTarime kwa kujitolea muhanga, mmedhihirisha NGUVU YA UMMA! Si dola wala nguvu yoyote inaweza kuwazima. Hongereni sana!

Mwita MAranya na Isaya Mwita vipi? Mbona kimya au mmepagawa kwa ushindi wa WanaTarime?
 
Mie bado siamini. Pamoja na nguvu yote ya fedha, magogo/vigogo, double helicopter, na fabrications kuhusu kifo cha Wangwe?
 
Mkuu,Mbowe alisema amekuja kuongoza mapambano dhidi ya CCM na dhidi ya Ufisadi.


Sijui makamba atafanya nini leo,yaani hiyo ndiyo safari ya mabadiliko.

Kimeeleweka.
 
Mie bado siamini. Pamoja na nguvu yote ya fedha, magogo/vigogo, double helicopter, na fabrications kuhusu kifo cha Wangwe?

Mkuu, ni ngumu kuamini lakini imewezekana, WanaTarime wameonyesha kuwa inawezekana. Hata Dola yote (Polisi na Mkuu wao wa Operationa + Sungusungu na Chipukizi) wajipange dhidi ya Demokrasia hawataweza, kitachotokea ni kuwa labda CCM itawale miti na magofu. Na hilo wameshagundua na next time hawatajaribu kulazimisha matakwa yao kwenye uchaguzi.
 
Hesabu haibadiliki mku! Hata kama ni kutoka kwa mawakala,kinachofuata nataka nijue huyo wa Mtikila amepata ngapi? Yaani hapo mtikila kapata kichapo mara mbili.Heko CHADEMA,Hongereni Tarime


Nilikuwa na hofu sana hawa jamaa wanaweza wakageuza matokeo,.
Sasa kwa nini polisi inapiga raia saizi?Amani sasa ipo wapi?au ndo imetoweka?
 
Wamekubali, Redio ya chama imetangaza matokeo yanayoashiria Chama tawala kimebwagwa katika ubunge na udiwani. Ni ushindi kwa demokrasia!
 
TBC ndio inatangaza matokeo live hivi sasa


Walikua wanasubiri nini? Au walizimia kwa mshtuko,sijui afya ya Makamba iko hali gani sasa. nchimbi na ngeleja je?

Sasa waende wakapige hesabu ya fedha walizopoteza,mtikila nae akaugulie majeraha yake


Sie,twacheka na kuwaombea mema wanatarime
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom