NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Chanzo gazeti la Mwananchi la leo
Nini maoni yako
Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake na pesa zake ndio zinamfanya awe na kiburi.
Hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele watu wanazaliwa kila siku na wanakufa kila siku.Kina Nyerere,Kaunda,Kenyatta,Obote,Banda,Seretse Khama,Mugabe,Nkhuruma,Mandela,Neto,Samora
Walikuwa viongozi hodari na walipigania nchi zao kupata Uhuru walikufa na bado wa kushika vijiti vyao wapo.
Wetu wengine wanageuza siasa kuwa biashara.Nchi za wenzetu kama Marekani na Wingereza mtu akiwa kiongozi wa kisiasa hafuati ulaji na ndio maana Marekani wanasiasa ndio hawana ukwasi ila wasanii
Kwa sisi nchi za Africa n kinyume chake