Uchaguzi 2020 Ubunge wa CCM wageuka kituko, Komandoo Mashimo naye atangaza nia Jimbo la Kibamba

Sasa Goliati ni nani?
Badala ya kuwaza ukombozi wa roho za wanadamu, wao wanawaza milioni 300. Ama kweli Magufuli ameifanya CCM kuwa kama shimo la taka. Kikubwa tu ujue kumnyenyekea mtunza shimo lazima na wewe umwage takataka zako.
 
Kule kilombero nakonkuna Nabii wa cdm kweli mambo si mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…