Elections 2015 Ubunge wa Karagwe 2015 ni zamu ya Kahangwa

Elections 2015 Ubunge wa Karagwe 2015 ni zamu ya Kahangwa

Issue kukopesheka unaweza ukawa unahisi unavgezo kumbe havitoshelezi kukopesheka, kama Chadema wanavyofikiri kuwa UKAWA ni sababu yakwenda Ikulu ili hali ni ndoto ya mchana.
 
Itv siku hizi wamechoka.........hizi habari za mipasuko hawazioni kabisa
 
Gharama ya vipaza sauti mbona imekosewa??????

Au ni copy and paste without thinking
 
Kama alishinda mbona hakupewa,hiyo sio poa jamani,hakuna asietaka ubunge but tuwaachie wananchi sasa waamue.
 
Back
Top Bottom