Kumbe shithole!!?Ndiyo hivyo ujue kuwa uchoko wako ni wa kurithi, wazazi wengine huwarithisha watoto wao mali na elimu wewe babako kakurithisha ushoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe shithole!!?Ndiyo hivyo ujue kuwa uchoko wako ni wa kurithi, wazazi wengine huwarithisha watoto wao mali na elimu wewe babako kakurithisha ushoga.
Swali Rahisi tu kwako Ulikuwepo Manispaa ya Ubungo? Swali la pili Yale maelezo taliyotolewa na CPA Makala yalikua yamaanisha Nini? Swali la tatu Mgombea ambaye Bado hajazaliwa anagombeaje?CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Yameanza leo ?Ni kweli, ila bila kuingia,, haya madudu tusingeyaona.
Mtu mzima hatishiwi nyau. Wewe jichetue tu ulishabugi kujilipua kwa uchu wa kutaka uteuziKama unajiamini jitokeze hadharani kwa majina yako halisi na useme maneno yako haya halafu uone kitakachofuata.
Mimi nazungumzia ukichaa, ugonjwa "clinical manifestations" inayo onyeshwa wazi wazi na huyu niliye mwelezea hapa.Kila binadamu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia sana,
Kwa kuwa hayakuanza leo, ndiyo iwe sababu ya kuto yatafutia njia mbadala ya kuyashughulikia? Tuendelee tu hivyo hivyo na njia zile zile, kwa vile "hayakuanza leo"? Hii ni mantiki ya namna gani hii!Yameanza leo ?
Hiyo njia yako mbadala ni ipi ?Kwa kuwa hayakuanza leo, ndiyo iwe sababu ya kuto yatafutia njia mbadala ya kuyashughulikia? Tuendelee tu hivyo hivyo na njia zile zile, kwa vile "hayakuanza leo"? Hii ni mantiki ya namna gani hii!
Wengine siyo vichaa, wanaahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data, tuseme uchawa, (unyumbu wa kisiasa)Mimi nazungumzia ukichaa, ugonjwa "clinical manifestations" inayo onyeshwa wazi wazi na huyu niliye mwelezea hapa.
Hayo ya "Ukichaa" alio nao kila binaadam kama unavyo eleza haupo katika niliyo yaeleza kuhusu huyo mtu. Hii nadharia ya ukichaa iliyo elezwa na wizara kama unavyo dai ni swala tofauti kabisa na ukichaa anao onyesha lucas.
Siyo "vichaa" wote hao walio elezwa na wizara wanahitaji uangalizi maalum kwenye mahospitali ya vichaa!
Kwa hiyo nielewe kwa maana niliyo lenga katika andiko langu hapo.
Nakua nafasi nawe utumie akili kubuni nyingine kuliko kutegemea hiyo hiyo unayo ng'ang'ania miaka yote.Hiyo njia yako mbadala ni ipi ?
Mimi nataka watu tuuane kwa bunduki ndipo akili zitakaa sawa hakuna mabadiliko yanayokuja kupitia sanduku la kula huo ndio msimamo wangu.Nakua nafasi nawe utumie akili kubuni nyingine kuliko kutegemea hiyo hiyo unayo ng'ang'ania miaka yote.
Kutokana na ushiriki wako kwenye mada hii, inaonyesha hufurahishwi na hali iliyoo, kama nisivyo furahishwa mimi na wengi wengine. Kwa hiyo tushirikiane kutumia vichwa vyetu kukataa hayo tuliyo yazoea.
Kidogo inasikitisha. Unaniuliza "mbadala ni ii? wakati jibu lipo hapo tayari kwenye mada hii hii? Sasa sielewi maana yako ni nini hasa!
Maagizo kutoka juuKwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao
Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.
Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"
Umenikumbusha mapanga shaa tulikuwa tunayaona kwenye filamu tu, zama hizi vijana na wengine wazee wa kiafrica wanajua, (wamebobea), siku hizi hakuna uchaguzi bali ni uchafuzi inasikitisha sana, tunatengeneza kizazi cha ajabuMimi nataka watu tuuane kwa bunduki ndipo akili zitakaa sawa hakuna mabadiliko yanayokuja kupitia sanduku la kula huo ndio msimamo wangu.
Wewe sema wako hapa sitaki ngonjera nyingi, nakusubiri kwa jibu na msimamo wako
Ukinilazimisha niwe kichaa kama unavyo taka hapa nitakuwa hivyo kwa wakati wangu na siyo kwa wakati wako. Uwezo huo ninao sana.Mimi nataka watu tuuane kwa bunduki ndipo akili zitakaa sawa hakuna mabadiliko yanayokuja kupitia sanduku la kula huo ndio msimamo wangu.
Wewe sema wako hapa sitaki ngonjera nyingi, nakusubiri kwa jibu na msimamo wako
Chadema wote wa ubungo mnashindwa na mtu mmoja????Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao
Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.
Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"
- Dodoma: Walioenguliwa CHADEMA wakosa tena sifa!
- CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa
- CHADEMA: Baada ya Waziri wa TAMISEMI kusema Wagombea walioenguliwa wakate rufaa, tumepokea taarifa ofisi za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zimefungwa
Blag blah blah ngonjera nyingi sijakulazimisha ufuate msimamo wangu huna akili.Ukinilazimisha niwe kichaa kama unavyo taka hapa nitakuwa hivyo kwa wakati wangu na siyo kwa wakati wako. Uwezo huo ninao sana.
Nenda kachukue bunduki uuane na unaotaka kuuana nao, hilo halinihusu.
Kwani huyu DC hana kwake, haiendi kanisani au msikitini. Kwanini aishi kwenye jamii kama hiyo mambo yawe powa tu. Kama ni mimi asingemaliza hata wiki
Hizi bangi ndio umeanza karibuni, au ni mzoefu wa siku nyingi? Sina muda wa kupoteza na watu duni kama ulivyo wewe. Nimemalizana nawe.Blag blah blah ngonjera nyingi sijakulazimisha ufuate msimamo wangu huna akili.
Zungumza unacho simamia wewe acha tantalila nyingi nenda moja kwa moja kwenye point
Usingejipendekeza katika comment yangu.Hizi bangi ndio umeanza karibuni, au ni mzoefu wa siku nyingi? Sina muda wa kupoteza na watu duni kama ulivyo wewe. Nimemalizana nawe.