LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHADEMA wazushi na waongo sana.Mmepoteza ushawishi kwa watanzania na kubakia watu wakutunga vihabari vya uongo na kizushi.
Swali Rahisi tu kwako Ulikuwepo Manispaa ya Ubungo? Swali la pili Yale maelezo taliyotolewa na CPA Makala yalikua yamaanisha Nini? Swali la tatu Mgombea ambaye Bado hajazaliwa anagombeaje?
 
Kila binadamu ni kichaa na ukichaa humfika akichukia sana,
Mimi nazungumzia ukichaa, ugonjwa "clinical manifestations" inayo onyeshwa wazi wazi na huyu niliye mwelezea hapa.
Hayo ya "Ukichaa" alio nao kila binaadam kama unavyo eleza haupo katika niliyo yaeleza kuhusu huyo mtu. Hii nadharia ya ukichaa iliyo elezwa na wizara kama unavyo dai ni swala tofauti kabisa na ukichaa anao onyesha lucas.
Siyo "vichaa" wote hao walio elezwa na wizara wanahitaji uangalizi maalum kwenye mahospitali ya vichaa!

Kwa hiyo nielewe kwa maana niliyo lenga katika andiko langu hapo.
 
Yameanza leo ?
Kwa kuwa hayakuanza leo, ndiyo iwe sababu ya kuto yatafutia njia mbadala ya kuyashughulikia? Tuendelee tu hivyo hivyo na njia zile zile, kwa vile "hayakuanza leo"? Hii ni mantiki ya namna gani hii!
 
Hiyo njia yako mbadala ni ipi ?
 
Mimi nazungumzia ukichaa, ugonjwa "clinical manifestations" inayo onyeshwa wazi wazi na huyu niliye mwelezea hapa.
Hayo ya "Ukichaa" alio nao kila binaadam kama unavyo eleza haupo katika niliyo yaeleza kuhusu huyo mtu. Hii nadharia ya ukichaa iliyo elezwa na wizara kama unavyo dai ni swala tofauti kabisa na ukichaa anao onyesha lucas.
Siyo "vichaa" wote hao walio elezwa na wizara wanahitaji uangalizi maalum kwenye mahospitali ya vichaa!

Kwa hiyo nielewe kwa maana niliyo lenga katika andiko langu hapo.
Wengine siyo vichaa, wanaahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data, tuseme uchawa, (unyumbu wa kisiasa)

Ufafanuzi: unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki)
 
Hiyo njia yako mbadala ni ipi ?
Nakua nafasi nawe utumie akili kubuni nyingine kuliko kutegemea hiyo hiyo unayo ng'ang'ania miaka yote.
Kutokana na ushiriki wako kwenye mada hii, inaonyesha hufurahishwi na hali iliyoo, kama nisivyo furahishwa mimi na wengi wengine. Kwa hiyo tushirikiane kutumia vichwa vyetu kukataa hayo tuliyo yazoea.

Kidogo inasikitisha. Unaniuliza "mbadala ni ii? wakati jibu lipo hapo tayari kwenye mada hii hii? Sasa sielewi maana yako ni nini hasa!
 
Mimi nataka watu tuuane kwa bunduki ndipo akili zitakaa sawa hakuna mabadiliko yanayokuja kupitia sanduku la kula huo ndio msimamo wangu.

Wewe sema wako hapa sitaki ngonjera nyingi, nakusubiri kwa jibu na msimamo wako
 
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao

Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.

Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"
Maagizo kutoka juu
 
Umenikumbusha mapanga shaa tulikuwa tunayaona kwenye filamu tu, zama hizi vijana na wengine wazee wa kiafrica wanajua, (wamebobea), siku hizi hakuna uchaguzi bali ni uchafuzi inasikitisha sana, tunatengeneza kizazi cha ajabu
 
Mimi nataka watu tuuane kwa bunduki ndipo akili zitakaa sawa hakuna mabadiliko yanayokuja kupitia sanduku la kula huo ndio msimamo wangu.

Wewe sema wako hapa sitaki ngonjera nyingi, nakusubiri kwa jibu na msimamo wako
Ukinilazimisha niwe kichaa kama unavyo taka hapa nitakuwa hivyo kwa wakati wangu na siyo kwa wakati wako. Uwezo huo ninao sana.

Nenda kachukue bunduki uuane na unaotaka kuuana nao, hilo halinihusu.
 
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao

Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC
===============
"DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa wa Chadema na kuagiza wapigwe kwa madai ya kuleta fujo ofisi za halmashauri. Wagombea hao ambao walienguliwa, walikata rufaa, lakini wakaambiwa rufaa zao zimetupiliwa mbali bila maandishi. Leo wameenda ofisi za halmashauri ya Ubungo, ili kushinikiza wapewe barua zinazoonesha kwamba rufaa zao zimetupiliwa mbali.

Soma Pia:
"Lakini badala ya kupewa barua, wamefungiwa ndani ya ofisi hizo huku DC akidai kwenda kuleta polisi ili kuwatia adabu (kuwapiga na kuwaweka mahabusu). Hali ni kama inavyoonekana, milango imefungwa kwa nje na wagonbea wa Chadema wapo ndani!"
Chadema wote wa ubungo mnashindwa na mtu mmoja????
Unusual.
 
Ukinilazimisha niwe kichaa kama unavyo taka hapa nitakuwa hivyo kwa wakati wangu na siyo kwa wakati wako. Uwezo huo ninao sana.

Nenda kachukue bunduki uuane na unaotaka kuuana nao, hilo halinihusu.
Blag blah blah ngonjera nyingi sijakulazimisha ufuate msimamo wangu huna akili.

Zungumza unacho simamia wewe acha tantalila nyingi nenda moja kwa moja kwenye point
 
Kwani huyu DC hana kwake, haiendi kanisani au msikitini. Kwanini aishi kwenye jamii kama hiyo mambo yawe powa tu. Kama ni mimi asingemaliza hata wiki

Tatizo lenu umawachekea chekea sana. Iko siku Watanzania watakuwa majasiri sio kuchezewa kila siku
 
Blag blah blah ngonjera nyingi sijakulazimisha ufuate msimamo wangu huna akili.

Zungumza unacho simamia wewe acha tantalila nyingi nenda moja kwa moja kwenye point
Hizi bangi ndio umeanza karibuni, au ni mzoefu wa siku nyingi? Sina muda wa kupoteza na watu duni kama ulivyo wewe. Nimemalizana nawe.
 
Usingejipendekeza katika comment yangu.

Huna akili
 
Back
Top Bottom