Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam ni matapeli tupuNi kansa mbaya sana hii wa kulaumiwa ni Azam media
Huwa hawajiongeziWalimu mshahara kiduchu wamedumaza akili zetu
Huu ndio ujinga wenu wafagilia mipirs hata hamna akili. Samata mmoja ndio anafanya wajinga mamilioni mnaacha kufanya ya maana? Ungeniambia kuna akina Samata 10,000 ningekuelewaa kidogoMpira unatoa ajira nyingi sana. Fikiria leo Mbwana Samatta kajenga majumba mengi huko mbagala, ni mafundi wangapi ameweza kuwaajiri?.
Ukiwa Mwl harafu ukawa mshabuki wa mpira ndio kabisa.....umejichimbia kaburi la umaskiniWalimu mshahara kiduchu wamedumaza akili zetu
Hakika mkuu.Huu ndio ujinga wenu wafagilia mipirs hata hamna akili. Samata mmoja ndio anafanya wajinga mamilioni mnaacha kufanya ya maana? Ungeniambia kuna akina Samata 10,000 ningekuelewaa kidogo
Ukimuuliza faida ya mpira anakutajia Mbwana Samata nilitarajia ajitaje yeye kama mfano amefaidikaje.Hakika mkuu.
Aisee,hawa watu ni hasara kwa taifa.Ukimuuliza faida ya mpira anakutajia Mbwana Samata nilitarajia ajitaje yeye kama mfano amefaidikaje.
Mpira jnafaidisha mtu mmoja nchi nzima una faida gani? Bora kupiga nyeto kunaokoa vijana wengi.
Wote tu kwa ujumla,. Hata hao wanaokimbilia kuutupia mpira lawama ni wapuuzi wakubwa.
Mpira unatoa ajira nyingi sana. Fikiria leo Mbwana Samatta kajenga majumba mengi huko mbagala, ni mafundi wangapi ameweza kuwaajiri?.
Obi Mikel ana malori yanayozunguka Nigeria nzima, ni madereva, mafundi wangapi ameweza kuwapa ajira kupitia hayo malori yake?.
Ronaldo wa Ureno kajenga hospitali kwao Ureno inayotibu masuala ya moyo kwa watoto. Ni watoto wangapi ameweza kuyaokoa maisha yao kupitia operesheni zinazofanyika hospitalini hapo?.
Huyo Mzee anapiga makelele hajui anaongea kitu gani kuhusu mpira wa miguu, kwa bahati mbaya akili za aina hiyo zipo sana Tanzania. Tunakuwa mbali na dunia halisi inayokuwepo.
Ebu na wewe fikirisha ubongo wako japo kidogo tu. Mzee Haji Duni hajasema hauna maana naona wewe unaleta mihemko tu hapa jukwaani. Anachokiona yeye na ni haki pia kikatiba kutoa mawazo yake kwa uhuru kabisa ni kwamba wananchi wasipumbazwe na ushabiki wa simba na yanga na kusahau kujadili mambo yenye tija na maslahi mapana yanayoikabili nchi yao. Binafsi nakubalina naye, hao uliwatolea mfano kama kina Ronaldo ni juhudi zao binafsi na hata siku moja hutamsikia Ronaldo akimsifia Raisi au kiongozi awaye yeyote yule kuwa ana mchango katika safari yale ya mafanikio. Ukiona Raisi wa nchi anatapanya pesa za walipa kodi kwenye mambo ambayo hayani impact kwenye jamii kama mpira wakati kuna shule na taasisi nyingine za umma hazina hata rasilimali basi ujue huyo Raisi hakupata ridhaa kamili ya hao wananchi anaowaongoza.
Wewe kama hupendi mpira tulia ufanye mambo yako unayoona yana maana kuliko kujaribu kuwashawishi wengine na wao eti wawe kama wewe.Ukimuuliza faida ya mpira anakutajia Mbwana Samata nilitarajia ajitaje yeye kama mfano amefaidikaje.
Mpira jnafaidisha mtu mmoja nchi nzima una faida gani? Bora kupiga nyeto kunaokoa vijana wengi.
Tunatoa elimu tu. Anayeona infaa aifateWewe kama hupendi mpira tulia ufanye mambo yako unayoona yana maana kuliko kujaribu kuwashawishi wengine na wao eti wawe kama wewe.
Usitake jamii nzima ukione wewe na ukipendacho ndio watu wa maana.
Huyo Samatta ni mmoja tu na kwa bahati mbaya hatujawa na hao mastaa wengi wa kaliba yake
Huko Ivory Coast baada ya vita iliyodumu kwa miaka kumi Didier Drogba na wenzake waliibeba taji la afcon na wakazifanya pande mbili zilizokuwa zikipigana zikaweka silaha chini na wakarudia maisha yenye amani.
Umeshajiuliza Mo Salah anaingiza kiasi gani cha pesa katika hazina yao ya Taifa?''
Labda Baba yako ndiyo angepiga nyeto ili mawazo ya kipuuzi kama hayo yasiweze kutokea nchini mwetu.
Demokrasia ni haki ya huyo anayeipokea hiyo elimu. Wapenda mpira waachwe wafurahie mchezo sio kujaribu kuja na hoja za kuingilia uhuru wao.Tunatoa elimu tu. Anayeona infaa aifate
Tunawashauri muachane na msujinga yanadumaza akiliDemokrasia ni haki ya huyo anayeipokea hiyo elimu. Wapenda mpira waachwe wafurahie mchezo sio kujaribu kuja na hoja za kuingilia uhuru wao.
Mbona wanasiasa wengi tu wamedumaa akili zao?.Tunawashauri muachane na msujinga yanadumaza akili
Yupo sahihi,huu usimba na uyanga ni upumbavu wa hali ya juuMwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga ambao unakwamisha jitihada za kuleta maendeleo katika mtaa wao.
Babu Duni ametoa wito huo Novemba 20, 2024 wakati akizindua rasmi kampeni za chama hicho kwa mtaa huo ambapo amewataka kujadili changamoto mbalimbali zinazowahusu na kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika hivi karibuni
Aidha amesema kwamba ACT imekuja na Ilani ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao imeangazia masilahi yao ikiwamo masuala ya ajira, uchumi wa mtaa na kuwa na uongozi ambao unakubalika na wananchi wa mtaa.
============================================================
Ujumbe huu Muruwa umetolewa na Mzee Juma Duni Haji kwenye uzinduzi wa kampeni za Serikali za mitaa.
Mzee huyu anatusanua kwamba kumbe hizi Simba na Yanga zimekuwa zinatumika kupumbaza Wananchi na kuwasahaulisha dhiki ya Nchi ili CCM Iendelee kutapanya na kuuza Mali za Nchi na kuwarithisha madaraka watoto wa Viongozi
Zaidi Mzee Duni huyu hapa
View attachment 3157796