LGE2024 Ubungo: Kiongozi wa ACT Wazalendo aonya wananchi kupumbazwa na mambo ya Simba na Yanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mpira unatoa ajira nyingi sana. Fikiria leo Mbwana Samatta kajenga majumba mengi huko mbagala, ni mafundi wangapi ameweza kuwaajiri?.
Huu ndio ujinga wenu wafagilia mipirs hata hamna akili. Samata mmoja ndio anafanya wajinga mamilioni mnaacha kufanya ya maana? Ungeniambia kuna akina Samata 10,000 ningekuelewaa kidogo
 
 
Ukimuuliza faida ya mpira anakutajia Mbwana Samata nilitarajia ajitaje yeye kama mfano amefaidikaje.

Mpira jnafaidisha mtu mmoja nchi nzima una faida gani? Bora kupiga nyeto kunaokoa vijana wengi.
Wewe kama hupendi mpira tulia ufanye mambo yako unayoona yana maana kuliko kujaribu kuwashawishi wengine na wao eti wawe kama wewe.

Usitake jamii nzima ukione wewe na ukipendacho ndio watu wa maana.

Huyo Samatta ni mmoja tu na kwa bahati mbaya hatujawa na hao mastaa wengi wa kaliba yake

Huko Ivory Coast baada ya vita iliyodumu kwa miaka kumi Didier Drogba na wenzake waliibeba taji la afcon na wakazifanya pande mbili zilizokuwa zikipigana zikaweka silaha chini na wakarudia maisha yenye amani.

Umeshajiuliza Mo Salah anaingiza kiasi gani cha pesa katika hazina yao ya Taifa?''

Labda Baba yako ndiyo angepiga nyeto ili mawazo ya kipuuzi kama hayo yasiweze kutokea nchini mwetu.
 
Tumeshawahi kujiuliza Mo Dewji anaingiza kiasi gani pale hazina kwa kodi anazolipa kila mwezi kupitia kampuni zake? Huyo ni mdau wa mpira mwenye maono makubwa kuliko hizi kelele za kina Duni Haji.

Tumeshawahi kujiuliza GSM anaingiza kiasi gani cha pesa hazina kupitia kodi anazolipa?. Mpira ni biashara kubwa sana yenye kugusa maisha ya mabilioni ya watu duniani.

Hawa wanasiasa njaa zinawasumbua, wanaona Samia anapata umaarufu kupitia mafanikio ya Stars inabidi waongee lolote ili kupunguza wivu wanaotembea nao mioyoni.
 
Tunatoa elimu tu. Anayeona infaa aifate
 
Mpira kama huupendi wewe achana nao usiwalazimishe wenye kuupenda huu mchezo eti na wao wauchukie ili wawe na akili kama za kwako.

Wabongo wengi tunadhani ni wajanja kwa kuwa na akili ambazo zinafanana na nzi ndani ya chupa kumbe ni ushamba, unoko na ujinga mtupu.
 
Yupo sahihi,huu usimba na uyanga ni upumbavu wa hali ya juu
 
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga ambao unakwamisha jitihada za kuleta maendeleo katika mtaa wao.

Sambamba na hayo amewataka wananchi wakati wanakaa na kushinda kuzungumza kuhusu Yanga na Simba wazungumzie pia jinsi maisha yao yanavyoathiriwa na CCM
Your browser is not able to display this video.
 
Ushauri mzuri toka kwa Babu Duni Haji, lkn anatoa kwa mataahira yaliyovurugwa. Mpira kwao ndiyo maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…