wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Katika tukio la kustaajabisha na kushangaza hadi kuacha watu midomo wazi askari wa usalama barabarani aliekuwa kasimana mita chache kutoka mataa Ubungo kama unaelekea barabara ya Mandela (geti la kwanza la kushoto songas) askari ambae alikuwa kasimama hapo akiongea na dereva wa kirikuu alichokamata ameingia barabarani ghafla ili kuwahi kusimamisha lori lilokuwa linapita ndipo alipopata makasa huu pale alipokutana na pikipiki ilokuwa speed maarufu kama kishandu).
Tukio lenyewe ni kuwa huyu trafic alikuwa kashakamata kirikuu kikapaki pembeni kushoto. Wakati wanadadiliana na dereva wa Kirikuu mara likatoka lori ambalo limetokea mataa linaelekea Buguruni, ndipo huyo trafic akakatuza mbele ya kirikuu ghafla kuwahi barabarani ili asimamishe lori kumbe kuna pikipiki ilikuwa speed inapita kushoto mwa hili lori ikamvaa huyo askari hadi kumtupa pembeni na kumburuza.
Kwa ile hali niliyoona kama shuhuda, yule askari kaumia sana tena sana maana alikuwa chini haongei wala hajigusi.
Nukuu ya mashuhuda:
Wacha afee wamezoea kula hela yetu hawa, msimguse mwacheni afe. Mwisho, kwa ile kauli niliyosikia pale hata sikuangaHika kutoa msaada wala kuhangaika kupiga piga.
My take; Polisi jirekebisheni kaeni vizuri na raia wameshawachoka mambo mnayowafanyia. Poleni sana.