Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mwendo wa ngiri 😁Mkuu ni wale boda wanaoendesha bila buti wala helmet halafu mwendo wa mbwa😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendo wa ngiri 😁Mkuu ni wale boda wanaoendesha bila buti wala helmet halafu mwendo wa mbwa😀
Tunawajua hao wanapenda malori na pick up vibaya mno.Wasipofanya Kazi zao mnalalamika pia
Sijawahi pata baraka hiyo utakuta kwenye mataa wanaangalia hukuhuku then wanapenya hatari sana😂😂ukitaka kuwahi sehemu wachukue wale
malipo ni hapa hapa dunianiKazi wanafanya ila baadhi wanaoenea kama huyo trafic madereva wengi hawampendi nasikia hana huruma kabisa
Wasipofanya Kazi zao mnalalamika pia