Ubungo mataa: Trafiki agongwa na pikipiki akikimbilia kusimamisha lori

Ubungo mataa: Trafiki agongwa na pikipiki akikimbilia kusimamisha lori

Sijajua kwa nini kwa hapa DSM wamewekwa wengi hivi huku barabarani wakicheza sandakarawe!! Duh jeshi langu LA polisi
 
Hawa watu ni shida sana, wanatakiwa kujirekebisha mana wameshaweka uadui kati yao na watu wanaomiliki vitu vya moto
Kwa kweli ile kauli raia walitoa pale imenitisha
 
Back
Top Bottom