Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

chipa GM

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
1,815
Reaction score
2,973
jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana

 
Lete habari kamili! chanzo ni nini? kuna majeruhi?? ikiwezekana tupia picha kabisa.
 
Ooohh ngoja tuangal;ie Ngumi sasa Mwamunyage Vs Mwema, nani zaidi, utaskia kuna mijitu lazima iitaje CDM tu
 
Wajeda wamemnasa makofi trafiki baada ya kuchelewesha msafara wao.polisi nae kaenda kuita wenzie na kwa sasa wanawafuatilia wajenda njia ya kwenda tazara milo maeneo ya huko mtujuze kitakachoendelea
 
Wakitoka hapo wakampe kichapo cha mbwa mwizi Ponda.
 
Hao polisi wangehesabu tu ' it a bad day at work', maana huko wanakowafuta askari jeshi ni kujitakia kiama. Hayatakuwa makofi, watarushwa vichura chura mtindo mmoja.
 
leta habari kamili... ama mwamunyange anataka pindua nchi nini?
 
ugumu wa maisha, mfumuko wa bei yote hayo huleta frustration! kwa ujumla vijana wa kibongo walimu, madaktari, polisi, wanajeshi, CDM, Waislam wote tuna frustration za maisha nothing more
 
amani mbona tumeichoka, sasa tumeamua kujaribu sumu kwa kuilambaaaaaa
 
mie napita, naelekea ubungo nimeacha trafki wa kike amesimama mbele ya gari ya jeshi akizuia lisipite huku raia wakishangilia kuona kitatokea nini. Aliyepo ubungo atujuze basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…