Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

chipa GM

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
1,815
Reaction score
2,973
jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana


SAM_2463.JPG


SAM_2469.JPG



SAM_2471.JPG

SAM_2473.JPG

SAM_2475.JPG



SAM_2476.JPG


Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni, baada ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake.


Picha zote na:
kajunason.blogspot.com

 
Lete habari kamili! chanzo ni nini? kuna majeruhi?? ikiwezekana tupia picha kabisa.
 
Ooohh ngoja tuangal;ie Ngumi sasa Mwamunyage Vs Mwema, nani zaidi, utaskia kuna mijitu lazima iitaje CDM tu
 
Wajeda wamemnasa makofi trafiki baada ya kuchelewesha msafara wao.polisi nae kaenda kuita wenzie na kwa sasa wanawafuatilia wajenda njia ya kwenda tazara milo maeneo ya huko mtujuze kitakachoendelea
 
Hao polisi wangehesabu tu ' it a bad day at work', maana huko wanakowafuta askari jeshi ni kujitakia kiama. Hayatakuwa makofi, watarushwa vichura chura mtindo mmoja.
 
leta habari kamili... ama mwamunyange anataka pindua nchi nini?
 
ugumu wa maisha, mfumuko wa bei yote hayo huleta frustration! kwa ujumla vijana wa kibongo walimu, madaktari, polisi, wanajeshi, CDM, Waislam wote tuna frustration za maisha nothing more
 
amani mbona tumeichoka, sasa tumeamua kujaribu sumu kwa kuilambaaaaaa
 
mie napita, naelekea ubungo nimeacha trafki wa kike amesimama mbele ya gari ya jeshi akizuia lisipite huku raia wakishangilia kuona kitatokea nini. Aliyepo ubungo atujuze basi
 
Back
Top Bottom