Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

quote_icon.png
By mnyanyaswaji

Alinifundisha mchungaji wangu wa Anglicana halaf nikahamia Vatican ambapo kesi yangu Papa anaishughulia kuomba radhi! Nilianza nkiwa mdogo miongoni mwa wale watoto waliodhalilishwa nami nilikuwepo. Vipi nawe nikupeleke Vatican kwa papa au Irealand?
Naona katazo la mihadhara ya kukashifu limeanza kuwaathiri wengi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Aliyekojolea kitabu amewashinda kugeuka panya, leo jeshi!
Unajua hata reaction za Chemicals zina kitu inaitwa Catalyst. Tulitaka tumgeuze Panya sikuzile ashukuru katoroshwa! Ila kama alitumwa basi aliyemtuma mtasikia habar yake.
 
Serikali ina haja ya kurudisha utaratibu wa watu kuchaguliwa moja kwa moja kujiunga na majeshi yetu na taasisi nyingine za serikali mara baada ya matokeo ya mtihani kutoka na si utaratibu wa sasa wa watu wanaomba pindi nafasi zinapotoka kwani kuna uwezekano wa kupata watu ambao wameingia si kwa mapenzi ya kazi bali kutokana na shida za dunia na mwisho wa siku tunakuwa na mabondia wasio rasmi (ukichanganya na kazi hizi nyingi zisizo na utaalamu sana zimekuwa za kurithishana kama uganga wa kienyeji, baba akiwa polisi na mtoto wake au wa dada yake nae polisi, vivyo hivyo kwa magereza na jeshi, kinachotokea ni hicho kwa kuwa kila mmoja ana wa kumkingia kifua)
 
kama vipi inchi hii itawaliwe kijeshi kwanza ili ikae kwenye mistari kwanza. tazama mifano rwanda, urusi, uturuki, angola, misri (japo wamejirudisha tena nyuma kwa kuchagua serikali ya kidini ilikuwa moja superpowers) endelea wewe
 
Mkuu tuliza mzuka...najua kisago cha jana kinauma...
Hahahaha Sweke34 jana wameenda watu wachache sana vimekuja vikosi vyote mpaka msaada wa mgambo achilia walinda mipaka. Hivi ikija ambush yenyewe nani ataweza zuia kila kona? Refer Egypt jeshi sio kila kitu Mkuu. Mie najaribu kuwaweka sawa wazushi waliojiunga JF juzi na kuanza kashfa zidi uislamu, kwahilo I am sorry sitanyamaza
 
mi nadhani hao uliowataja ndio wana laana ya mja,maana popote walipo ni matatizo!!!!!!mnawakebehi whites lakin kila kukicha ndo mwakimbilia!!!!acheni unafiki!!!!!hata shule haitawasaidia,tatizo ni hiyo misingi ya imani yenu!!!!!fuatilia kote duniani!!!!!!mungu gani huyo ambaye yeye anadharirisha watu wake na dini yake?kote duniani mna matatizo!!!!!!mna laana nyie!!!!!!!!!

mkuu na wa wale whites wanataka kuhalalisha gay marriage vp wale ndio wameendelea au ndo wana laana wao
 
jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana
Moja kati ya majibu katika "Vijue vyeo vya jeshi la polisi...viko 16" nilisema JWTZ ni walinzi wananchi, hii ikiwa ni pamoja na polisi....hivyo polisi wakipigwa mbele ya raia si sawa, bali ni kuwadhalilisha. Ila kwanini na hao polisi wacheleweshe msafara wa hao wenye nchi?.....maswali niliyo nayo ni mengi na mwenye uwezo wa kuyajibu alikuwa ni Col. Chimsala..nasikia naye alihamia "Uingereza"kimasomo lakini naamini kuna mwingine badala yake.
 
Unajua hata reaction za Chemicals zina kitu inaitwa Catalyst. Tulitaka tumgeuze Panya sikuzile ashukuru katoroshwa! Ila kama alitumwa basi aliyemtuma mtasikia habar yake.

Ahh...Nyau?? hapana....Jipeni moyo hakuna kitu kama hicho...Mpaka hapo mmeprove failure.
 
Wewe una matatizo!!!!!na unareflect matatizo mliyonayo!!!hapo unazungumzia nini?Adamu na Hawa kwa mujibu wa maandiko walitenda dhambi bustanini,viumbe wa kwanza kuumbwa!!!!!sembuse hao!!!,mazingira yana athari sana kimwili na kifkra kwa mwanadamu,kama tunavyosema mising ya ujengaj fikra kwenu ni matatizo!!ndo maana kote mna matatizo!!!uwe mkweli tu,angalia uongozi huu!!ni kituko,mzee Ruksa kituko kingine,lazma ujue kwamba binadamu si viumbe vitakatifu!!!!lakin sio mantiki ya kuhalalisha dhambi!!!yanayojificha ndani yenu yaweza kuwa ya kustaajabisha!!na hili linaonyeshwa na fikra mgando mlizonazo!!!!!ok bwana kila la heri!!karibu ughaibuni,utulize mawazo mpendwa!!!

Wewe unataka kutuaminisha utawala wa Mkapa na Nyerere mambo yalikuwa mazuri au vipi ....?
 
Hahahaha Sweke34 jana wameenda watu wachache sana vimekuja vikosi vyote mpaka msaada wa mgambo achilia walinda mipaka. Hivi ikija ambush yenyewe nani ataweza zuia kila kona? Refer Egypt jeshi sio kila kitu Mkuu. Mie najaribu kuwaweka sawa wazushi waliojiunga JF juzi na kuanza kashfa zidi uislamu, kwahilo I am sorry sitanyamaza

Jaribuni muone maana hata kama dhaifu ataendelea kuwaambie makamanda wawache ndugu zake kama alivyokuwa akifanya haitasaidia...ni kichapo tu. Umeona jana?? Virungu na makofi mitama hadi raha...chezea state machinery wewe? eti mnakwenda ikulu...kula tende? au mmesikia pale kuna msikiti??panaendeshwa kwa kodi zetu hata kama dhaifu anawavumilia jshi limemstukia anakoipeleka nchi na hatukubali...andamaneni tena muone.
 
Unajua hata reaction za Chemicals zina kitu inaitwa Catalyst. Tulitaka tumgeuze Panya sikuzile ashukuru katoroshwa! Ila kama alitumwa basi aliyemtuma mtasikia habar yake.

"A Catalyst is a substance which facilitates the reaction but remain unchange at the END of reaction".!! Eg. H2SO4.... Sasa hapo unaiunganisha vipi ? na issue nzima....Mimi naona kama MFANO SIO HAI.
 
Askari kupiga polisi ni mbaya sana. Trafiki anasimama barabarani na mamlaka ya serikali. Kila gari linamtii, hata kama lina Rais ndani litamtii.

Askari na Polisi wana Amiri Jeshi Mkuu mmoja. Ni tumaini langu kwamba ofisi yake itahakikisha waliodharau Trafiki wanafukuzwa jeshi na hata kufungwa.

Bila heshima na kutii Trafiki kutakuwa na true anarchy barabarani, na hilo linaweza kuzaa anarchy kwingine.

Ndugu zangu; haya mambo yanaweza kuonekana madogo lakini yanaashiria tatizo kubwa la kukosa nidhamu jeshini. Tusipoziba ufa tutajenga ukuta.

The Chinese say "A journey of a thousand miles starts with one step". Lazima kabisa kushughulikia kwa makini utovu wa nidhamu jeshini.
 
Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni,baada ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja maeneo ya Tabata dampo.kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake.
Picha na Mjengwablog




SAM_2458.JPG
SAM_2463.JPG
SAM_2476.JPG
 
Back
Top Bottom