Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Kwanza wahanga wale walikuwa maeneo yao ya Makazi na kuvamiwa na kudhalilishwa hii haijakaa SAWA!! Kisa mtu mmoja ajipatie sifa!! Hii haikubaliki mbele ya Taifa lenye utawala Bora na sheria
Inasikitisha sana
 
Hivi hizi fidia huwa zinawakokotolewa vipi? Maana naonaga fidia za mabilioni halafu ukicheki anaetakiwa kulipa iyo fidia hana uwezo huo.
 
Huyo amejitolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…