Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ya mtu mwingine au ya kwako mwenyewe?ni sawa kuuza nyapu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya mtu mwingine au ya kwako mwenyewe?ni sawa kuuza nyapu ?
Inasikitisha sanaKwanza wahanga wale walikuwa maeneo yao ya Makazi na kuvamiwa na kudhalilishwa hii haijakaa SAWA!! Kisa mtu mmoja ajipatie sifa!! Hii haikubaliki mbele ya Taifa lenye utawala Bora na sheria
Kwa nini?machangudoa ni wakutokomezwa kwa namna yoyote
Moron.Kwan Wakili ndo mahakama???
Huyo amejitoleaMimi nilipomuona mke wa Madeleka, nikajua hiyo familia ya Madeleka ina matatizo makubwa. Mke na mume wote mitambo, na yote imefukuzwa kazi serikalini.
Kama unq kesi yako serious usimpe Madeleka, vinginevyo uwe na Hakimu au Jaji ambaye ni robot. Watoa maamuzi ni binadamu, anaweza kuwakoroga kwa ukichaa wake, wakabonyeza ki-uzi chembamba ukajikuta unakosa haki au unaipata kwa kuteseka sana.
Be wise when choosing an advocate. The best advocate is the one who does not wish to lose the court