Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Tatizo liko wapi? Tambua ushahidi wa hili jambo ni mgumu sana,kuna loop holes nyingi sana za kumnasua mtuhumiwa,tushugulike na mambo muhimu,mfano kwa Dar huyo bwana apambane na vibaka kama ana morali ya kazi.

Kwa taarifa yako hachomoi,tanzania ya sasa sio ile ya mwaka 47
tulia sheria ifanye kazi yake, hatuwezi tukawa tunachagua makosa ya kushughulikia watu
 
Mimi nilipomuona mke wa Madeleka, nikajua hiyo familia ya Madeleka ina matatizo makubwa. Mke na mume wote mitambo, na yote imefukuzwa kazi serikalini.

Kama unq kesi yako serious usimpe Madeleka, vinginevyo uwe na Hakimu au Jaji ambaye ni robot. Watoa maamuzi ni binadamu, anaweza kuwakoroga kwa ukichaa wake, wakabonyeza ki-uzi chembamba ukajikuta unakosa haki au unaipata kwa kuteseka sana.

We wise when choosing an advocate. The best advocate is the one who does not wish to fight and then lose the connection with the court
Acha personal attack jikite kwenye hoja
 
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya

Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha

Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X

Hii June ina mambo Sana 😂
Vyangu doa wa siku hizi ni wasomi waliokosa ajira tofauti na wa zamani..mkuu wa wilaya analo!
 
Mkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu.

Tuna matatizo mengi sana tofauti na huo ukahaba anaopambana nao, wacha wamuadabishe,huko aliko najua hana hamu.
Mwana kulitaka......... . Na hilo ni lake mwenyewe walishaonywa sana kufuata sheria na kuacha ubabe wa kishamba.
 
Back
Top Bottom