Billion 36 zinamhusu mfikishie habariAcha uongo waliacha kazi wenyewe, jamaa anatembelea V8 ya kwake na anaenda popote duniani kwa hela ake, jiulize ni OCD gani anaweza kuruka Tanzania nzima kwa pesa ake na nje ya nchi?
tulia sheria ifanye kazi yake, hatuwezi tukawa tunachagua makosa ya kushughulikia watuTatizo liko wapi? Tambua ushahidi wa hili jambo ni mgumu sana,kuna loop holes nyingi sana za kumnasua mtuhumiwa,tushugulike na mambo muhimu,mfano kwa Dar huyo bwana apambane na vibaka kama ana morali ya kazi.
Kwa taarifa yako hachomoi,tanzania ya sasa sio ile ya mwaka 47
sheria gani inakataza. ilete hapa.ni sawa kuuza nyapu ?
I can see thisanatumbuliwa Very soon
Maadili ya kitanzania mkuuHakuna lengo hapo zaidi ya kutafuta sifa za kuteuliwa. Kuna shida ngapi za msingi za kushughulika nazo? Kwanza ni sheria ipi inazuia mtu kutumia viungo vyake kupata kipato? Nisaidie kifungu ndugu yangu.
Aliwazoa pale Moshi Bar Tip Top πNjia aliyotumia siyo sawa lakini lengo lake lilikuwa ni zuri
UWT akili zenu zipo kwenye unyayoTehe tehe! Walifukuzwa kazi kama mbwa
khe? KumbeKosa lake ni kukamata watu walikuwa lodge
Wewe ulikuwepo?Aliwazoa pale Moshi Bar Tip Top π
Acha personal attack jikite kwenye hojaMimi nilipomuona mke wa Madeleka, nikajua hiyo familia ya Madeleka ina matatizo makubwa. Mke na mume wote mitambo, na yote imefukuzwa kazi serikalini.
Kama unq kesi yako serious usimpe Madeleka, vinginevyo uwe na Hakimu au Jaji ambaye ni robot. Watoa maamuzi ni binadamu, anaweza kuwakoroga kwa ukichaa wake, wakabonyeza ki-uzi chembamba ukajikuta unakosa haki au unaipata kwa kuteseka sana.
We wise when choosing an advocate. The best advocate is the one who does not wish to fight and then lose the connection with the court
Kwa lodge alikosea sn lakini wa barabarani ni sawakhe? Kumbe
Vyangu doa wa siku hizi ni wasomi waliokosa ajira tofauti na wa zamani..mkuu wa wilaya analo!Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya
Wakili Madeleka amesema Wateja wake 36 watamdai Mkuu wa Wilaya ya Ubungo fidia ya TSH 36 billion Kwa kuwadhalilisha
Ameandika Wakili Msomi Madeleka ukurasani X
Hii June ina mambo Sana π
ποΈποΈποΈποΈ kuna siku atakuja kichaa aseme tusitumie JF kisa maadili. Tujifunze kutengeneza sheria za kutuongoza. Hiyo biashara haijaaanza leo na Kama hakuna sheria Basi kuna watu kwenye KUENDESHA nchi wananufaika nayo.Maadili ya kitanzania mkuu
Hapana siyo sawaποΈποΈποΈποΈ kuna siku atakuja kichaa aseme tusitumie JF kisa maadili. Tujifunze kutengeneza sheria za kutuongoza. Hiyo biashara haijaaanza leo na Kama hakuna sheria Basi kuna watu kwenye KUENDESHA nchi wananufaika nayo.
DC atajua Kuwa Manzese ni Rau Madukani iliyochangamka ππWewe ulikuwepo?
Mwana kulitaka......... . Na hilo ni lake mwenyewe walishaonywa sana kufuata sheria na kuacha ubabe wa kishamba.Mkuu wa wilaya mjinga kabisa kuwahi kutokea,mahakamani kuna kesi za msingi zinahitaji kusikilizwa,wewe unakamata watu kwa jambo la kijinga ambalo linapelekea shida kwenye mahakama zetu.
Tuna matatizo mengi sana tofauti na huo ukahaba anaopambana nao, wacha wamuadabishe,huko aliko najua hana hamu.
Ameyatimba.DC atakiona cha moto