Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

Ukiwa wakili wewe ni mtumishi wa Serikali usiyekuwepo kwenye payroll

Uvccm hamjui mambo mengi πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao sio watumishi wa serikali wasio kwenye payroll, wanaitwa maafisa wa mahakama by virtue of their duties
UWT akili zenu zipo kwenye unyayo
Hujui Madeleka na mkewe walikuwa mgambo? Tena Madeleka alikuwa ana kazi ya kuwakamata wana chadema
 
wewe ukimuangalia yule DC huoni kama ana utaahira?
 
Bashe atamlipia, maana huyo ni team Bashe, ndiye mpambe na mshauri mkuu wa Bashe, mbeba mikoba, na msambaza agenda, kama ilivyokuwa Serukamba kwa Lowasa.
 
Napendaga sana taarifa zako, ni fupi, za kichokozi na ni fikirishi!! Utakuwa umesoma shule nzuri!!

Kuna takataka humu ikiandika andiko lake naishiaga kusoma tu comments kuona linavyotukanwa.

Wengine saa nyingine hawakuelewagi, kumbe unachokoza tu
 
Napendaga sana taarifa zako, ni fupi, za kichokozi na ni fikirishi!! Utakuwa umesoma shule nzuri!!

Kuna takataka humu ikiandika andiko lake naishiaga kusoma tu comments kuona linavyotukanwa.

Wengine saa nyingine hawakuelewagi, kumbe unachokoza tu
Yule mchuna ngozi wa Mbozi?
 
Hakuna Kosa Gumu kuthibitisha mahakamani kwamba mtu ni kahaba. Kiufupi akikwambia tu alikua anafanya na mtu wake kesi imeisha! utaanzaje kuprove kwamba hela aliyopewa ndio anaitegemea kwenye maisha yake wakati yeye atakwambia ni nauli ya kurudi kwake ?
 
Maadili ya kitanzania mkuu
Maadili kwenye ngono tu,kwenye ufisadi na ubadhirifu wa pesa za umma hatusikiagi mambo ya maadili.Yako mambo mengi ya msingi yakufanya.Hayo ya ngono yalipaswa kua ya badae sana baada yakutatua yale ya msingi.kwasababu hiyo biashara ipo tu na itaendelea kuwepo kwasababu wateja wapo.Wanawakamata wauzaji wanawaacha wanunuzi.Biashara yoyote haramu ikishakua na wateja wengi kupambana nayo inahitaji mipango sahihi sio mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…