Hivi huku huwa hakuna mvua zenye upepo ambazo zinaweza kunyeshea hizo electronicsHizi ni dizaini za majiko ya nje kwa ambao wameshajipata au kwa ambao viwanja vyao ni vikubwa na wanapenda vitu vizuri
Bar wanajenga heshima kama kawa lakini home nako hawakusahau
Heshima juu ya heshimaView attachment 3246663
Unaludi ndan mwendo wa ngiri😂😂😂Hapo unarudi ndani hakuna namna😀