Ubunifu jiko la nje la kisasa

Ubunifu jiko la nje la kisasa

So nice ila huku kwetu shida itakuwa vumbi, paka, panya bundi na ngedere
Mkuu; Panya kamwe hakaagi mahali penye Paka na Bundi kwani panya ni chakula kwao i.e. panya ataliwa fasta.
Kwa habari ya Ngedere fanya hvi: Jitahidi umkamate ngedere mmoja akiwa hai halafu umvike kengele ile ya mbuzi shingoni ifunge imara sana kisha umwachie huru. Huyo ngedere mwenye kengele atawakimbizia mbali sana ngedere wenzake kwani kila akiwafuata lazima wamkimbie (ni tishio kwao)na yeye lazima ajitahidi kuungana nao kwenye kundi. Wote watakimbia na kukimbizana na mchezo utaendelea mpaka ngedere aliyevishwa kengele afe kwa uchovu na upweke na hawatokaa warudi tena hapo. Shida nnayoiona hapo ni vibaka.
 
Bonge la tacticks
 
🤣🤣😆
 
Back
Top Bottom