Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
siyo hivyo tu inaruhusiwa pia na sanaa inapewa uhuru kufanya mambo mengi, nina uhakika Masudi Kipanya ana uwezo mkubwa sana wa sanaa na kufanya mengi kama angekuwa na uhuru wa kufanya sanaa yake lkn anaishia kwenye katuni tu, jamii nyingine mty kama Masudi angekuwa profesa wa Chuo cha sanaa na kufundisha na kugundua wana sanaa wenzake wengi …