Uhalisia kwa maana ipi mkuu? Na ninini tafsiri ya ubunifu kwa mtazamo wako?
Naona umechanganya vitu viwili kwa pamoja lakini ngoja nikuelimishe kidogoUbunifu ni uwezo wa kubuni mawazo mbinu
au vitu vipya ambavyo ni vya kipekee na vyenye thamani
Sasa picha za AI si ubunifu tena kwa upande wangu
Naona umechanganya vitu viwili kwa pamoja lakini ngoja nikuelimishe kidogo
Ubunifu ni uwezo wa kuzalisha au kuendeleza kazi asilia, nadharia, mbinu, au mawazo, mara nyingi huhusisha mawazo, uhalisi, na kujieleza.
Ubunifu hauna mipaka na uko kila mahali ndio maana hapo kuna kipengele cha NADHARIA ila hukukiona au ulikiacha makusudiView attachment 3280772
Kwa picha kama hii napata
kuzalisha au kuendeleza kazi asilia gani kwa mfano
Hii ni Photoshop tu huwezi jifunza chochote kwa kitu kama hiki kwa upande wangu
Ah! Sawa sawaUbunifu hauna mipaka na uko kila mahali ndio maana hapo kuna kipengele cha NADHARIA ila hukukiona au ulikiacha makusudi
Nadharia inaweza kuwa halisi ana jambo la kufikirika zaidi
Ubunifu uko kwenye mpaka filosofia, mafumbo na vitu vya kufikirika.. Ubunifu upo mpaka kwenye vitu vya kufurahisha na kutafakarisha.. Na la mwisho kuna baadhi ya bunifu hazina tafsiri moja ama zina tafsiri kificho
Wanawaza wamwekeHii 👆 ndiyo itashika kasi kwenye mjadala wa leo subiri vijana waje