Hz bunifu huwa nashindwa kuzielewa inakuwaje watu wanatumia gharama zote hzo kwa faida gan sasa
Hata sisi tunabuni misemo ya MamaKwa wenzetu ubunifu ni kitu kinachopewa umuhimu mkubwa na wa kipeKee na ndio maana wameweza kufanya mengi na kufika mbali
Kwa picha hizi hapa tunaweza kujifunza kitu kwenye sanaa na dhana nzima ya ubunifuView attachment 3279389
Hii 👆 ndiyo itashika kasi kwenye mjadala wa leo subiri vijana waje