Wagogo na pweza ni sawa na msukuma na mtoryπππΏππΏππΏππΏHatari kabisa mpwa.
Sijui kuna siri gani kwenye huyu samaki pweza.
Halafu pilipili zao sijui mtengenezaji ni mmoja.
Ukila pweza wa Kimara na wa Mbagala au Kinondoni wote pilipili yao ina ladha moja....utamu sasaπ
Ila mie napenda pweza jamani.
Huku Dodoma hawana mwamko wa ulaji wa pweza.
Au kwa kuwa hakuna bahariπ€π€
Tamu sanaUkila pweza wa Kimara na wa Mbagala au Kinondoni wote pilipili yao ina ladha moja....utamu sasaππππ
Punguza upare shem.πππππππππΏββ
Na kweli, mgogo na pweza wapi na wapi.Wagogo na pweza ni sawa na msukuma na mtoryπππΏππΏππΏππΏ
Uyoga.. Maini pori akupikie mvimba macho bwanaπππArikaa Mbwanyeni! Shighirija. Uyoga unalimwa sana huko mijini ila unauziwa watu wanaomilki maSupermarkets au Hoteli kubwa-kubwa. Sisi huku vijijini tunajiokotea huko maporini msimu ukifika ila Tahadhari; watoto au wasioujua hawaruhusiwi kuokota/kuchuma uyoga wa porini. Kosa kidogo tu; mwifwa.
Mboriko?View attachment 3252542
Hiki nacho ni cha wachaga. Unapika kunde au maharage kwa kuweka magadi, yakikaribia kuiva unaweka ndizi zilichopasuliwa na kuwa kama chips, unatwanga kwa mwiko na kuongeza maji, kinakuwa kama uji.
Huu ugali wa nini?
Hii inapatikana wapi?
Hatari sana pale.Dah.. Mtura wa Kwamromboo Chugaπππ
Daah imenijaza mate, ngoja ntaulizia Nefaland Hotel hapa MtaaniMnadani Kibaha Loliondo kila Jmosi
View attachment 3252542
Hiki nacho ni cha wachaga. Unapika kunde au maharage kwa kuweka magadi, yakikaribia kuiva unaweka ndizi zilichopasuliwa na kuwa kama chips, unatwanga kwa mwiko na kuongeza maji, kinakuwa kama uji.
Mbona vya kijani?!Viazi mviringo