Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

Anayebuni hizo sura anazitoa wapi
Hiyo ni collection ya data ambazo tayari zipo mtandaoni Mkuu. Wanazivuta kutoka facebook, Insta, Tiktok na mitandao mingine.

Mfano rahisi ni labda kwako wanachukua sikio, kwangu pua, kwa mwingine macho, kule mikono na kwenye nguo wanachukua labda kwenye insta ya vunjabei. Yaani ndio vitu kama ivyo.

AI inakusanya tu taarifa na kuzitengeneza kuwa vile unataka ila sio kwamba inatoa kitu kiipya kabisa huku duniani, hapana AI haibuni ila inatumia data zilizopo tayari
 
Ni computer kiongozi, inabuni kila kitu..
Kuna mchina anataka nimtengenezee social media influencer model picha pamoja na video zake. Ndiyo maana nimeamua kurun model locally kwenye pc kwa sababu picha zinapaswa kuwa sura ile ile. So hapa tumekuja na version ya kwanza hajala makeup hapa. baadaye tutampiga make up aanze kuwa anakula machupi chupi na watu wakiwa wanaona picha mchina akweka wanaamini huyu ni mtu halisia kumbe wa kufikirika.

Tukishakubaliana na sura basi ntakuwa namzalishia video na picha za model huyu huyu katika mapozi na sehemu mbalimbali kutokana na maelezo yake atakayonipa.
 
AI sio poa mzee... hahahhh... sipati picha watu watakavyotapeliwa endapo akitokea mwenye nia ovu.. hahahh
 
Ni trend mkuu kuna AI models wamekuwa maarufu sana hasa china na nchi za brazil. So, nadhani anataka kufanya hicho.
Duh!! Ndio nilikuwa namaanisha ikitokea mwenye nia ovu kutapeli watu mitandaoni, watu wataliwa sana pesa wakijua ni mtu halisi...

Upo deep mkuu nakubali.
 

Mkuuu kwa njia ya simu naweza kutengeneza na labda na gharam site yakutengeneza nimejalibu dall -3 hila nimehishia ku login basi unaweza nisadiya malifa njinsi ya kutengenez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…