Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Elezea umuhimu wake kwa mazingira ya sasa katika kumkomboa binadamu kiuchumiMwendo umeumaliza...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elezea umuhimu wake kwa mazingira ya sasa katika kumkomboa binadamu kiuchumiMwendo umeumaliza...!!
Wameshaeleza wadau hapo juu.Elezea umuhimu wake kwa mazingira ya sasa katika kumkomboa binadamu kiuchumi
Inasadia kwa wale wanaotengeneza advert, so hapo hana haja ya kutafta modal au wale mnaita vexen sjui kama nimepatia. Imepunga gharama lakin pia imeondoa kazi za modelInasaidia nini katika maisha ya kila siku?
Zero brainUkishafikisha ujumbe,kuelimisha na kuburudisha unapata faida gan
Intellectual bankruptcy confirmedZero brain
Ni hivyo hivyo nilivyoeleza, hata majibu au vitu vinavyoandikwa au kuongewa na AI ni hivyo hivyo nilivyoelezaVipi unaweza kutengeneza na video kupitia hicho kidudu
OkNi hivyo hivyo nilivyoeleza, hata majibu au vitu vinavyoandikwa au kuongewa na AI ni hivyo hivyo nilivyoeleza
AiseeKuna mchina anataka nimtengenezee social media influencer model picha pamoja na video zake. Ndiyo maana nimeamua kurun model locally kwenye pc kwa sababu picha zinapaswa kuwa sura ile ile. So hapa tumekuja na version ya kwanza hajala makeup hapa. baadaye tutampiga make up aanze kuwa anakula machupi chupi na watu wakiwa wanaona picha mchina akweka wanaamini huyu ni mtu halisia kumbe wa kufikirika.
View attachment 3237033
Tukishakubaliana na sura basi ntakuwa namzalishia video na picha za model huyu huyu katika mapozi na sehemu mbalimbali kutokana na maelezo yake atakayonipa.
View attachment 3237034
Kama uko serious nicheck DM tufanye business.Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI.
Katika mjadala huu, tunakaribisha:
✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI.
✅ Kujadili uwezo wa AI katika sanaa ya kidijitali.
✅ Kutoa maoni na tathmini za ubunifu wa AI.
✅ Kuelewa mustakabali wa AI kwenye uwanja wa sanaa na ubunifu.
Unaweza kupakia picha/video zako, kuuliza maswali kuhusu mbinu bora za kutengeneza sanaa kwa AI, na kubadilishana mawazo na wengine. Je, una picha/video unazotaka kushiriki? Hebu tuone ubunifu wako!
Tuanze na picha za Valentine Day.. siku ya jana..
View attachment 3236986
![]()
View attachment 3236994
![]()
View attachment 3237001
View attachment 3237006
most of intelligent people wako bize Wana design machines, develop models za value chain etcKaribu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI.
Katika mjadala huu, tunakaribisha:
✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI.
✅ Kujadili uwezo wa AI katika sanaa ya kidijitali.
✅ Kutoa maoni na tathmini za ubunifu wa AI.
✅ Kuelewa mustakabali wa AI kwenye uwanja wa sanaa na ubunifu.
Unaweza kupakia picha/video zako, kuuliza maswali kuhusu mbinu bora za kutengeneza sanaa kwa AI, na kubadilishana mawazo na wengine. Je, una picha/video unazotaka kushiriki? Hebu tuone ubunifu wako!
Tuanze na picha za Valentine Day.. siku ya jana..
View attachment 3236986
![]()
View attachment 3236994
![]()
View attachment 3237001
View attachment 3237006
Tuonyeshe model yako uliyotengeneza...most of intelligent people wako bize Wana design machines, develop models za value chain etc
Sisi picha za wapenzi, mahaba na magari tusiyoweza kuwa nayo
Kalaana tuliko nako kanatisha sana
Bila matusi…. Nimepiga kazi nzuri sana over $4m…. Utichukulie poa watu humuTuonyeshe model yako uliyotengeneza...
contributions zangu kwenye open-source projects github ukiziona utajiona ni ms3ng3 flani tu hivi...
OOhh, So You made $4M? Giving handjob$?... ooohh you must have a sore jaw from sucking all those d!cks...Bila matusi…. Nimepiga kazi nzuri sana over $4m…. Utichukulie poa watu humu
Ni ninafuga developers Kwa hub na wako njema sana
And btw, msenge mama yako