Ubunifu wa wakenya na iga iga za majirani

Unajua kitu ambacho huwa mnanichekesha ni kama hapo unatuma picha picha wakati hawa navy team wenu kwa ground vitu ni different kabsaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ,
Mimi nazungumzia tukio lililotokea juzi sio mambo yaliyopita,
Kwani ukikiri udhaifu wa Kenya Navy nitakuchapa?
 
Huyu jamaa hajui kitu...
Hata maana ya chain of command anaielewa kwel...navy lile tukio haliwahusu kw ule mda ilkuwa...MD wa kenya ferry ajieleze km divers wa KFS walikua wapi, manake taarifa lazima zimfikie yeye wa kwanza...
Huyo jamaa achana naye, manake kwanza hajui kutoka ferry hadi navy kuna umbali wa kiasi gani..je walipewa taarifa mapema...


Lkn nchi yetu ya raha sana...watu mtandaoni wanavyojieleza hadi nai feel walai...yule mara navy, mwengine ywawalaumu KFS mpka wengine wanayalaumu mashirika ya ma divers wa kibinafsi...
Kuna wanaomlaumu rais pia...yani kenya yetu rahaa sana
 
haha hiyo ni shida yake binafsi ila kiufupi tu ni ameshindwa kujiongeza na amesaidiwa ubunifu na fulani ingawa si sawa hata kisheria.
Huyu jamaa ni jipu. Kuna siku aliibuka na lingine ambalo aliliiba kwa mkenya mwingine kutoka kule K'Ogelo. [emoji1] Farmajo Care.
 
If thats the only pressurization chamber around, our neighbours in the south must be paying us good money, unless hawana divers
 
No wonder we always lead Tanzania by far in the annual innovation index kwa mengine mengi zaidi ya haya.
 
Endelea kufuatilia comment za wakenya na kuzifuata...
Kemu jaribu hta sai uka komenti kitu negative kuhusiana na hyo habari hko twitter uone vile utaangukia pua...
Alafu mkiambiwa hamna utu mnamind, navy wenu wapo baharini wanaranda randa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…