Ubunifu wa wakenya na iga iga za majirani

Ubunifu wa wakenya na iga iga za majirani

Hiyo inaitwa uhuru wa kujieleza. Salvage inaendelea hadi sasa hivi. Hivi unajua foreigh force ya kwanza kutake over Kismayu kwa zaidi ya miaka 150 ni Kenya Navy.
hmpg280912_1.jpg
Useless kabisa
 
Unajua kitu ambacho huwa mnanichekesha ni kama hapo unatuma picha picha wakati hawa navy team wenu kwa ground vitu ni different kabsaaa 😂😂😂 ,
Mimi nazungumzia tukio lililotokea juzi sio mambo yaliyopita,
Kwani ukikiri udhaifu wa Kenya Navy nitakuchapa?
 
Huyu jamaa hajui kitu...
Hata maana ya chain of command anaielewa kwel...navy lile tukio haliwahusu kw ule mda ilkuwa...MD wa kenya ferry ajieleze km divers wa KFS walikua wapi, manake taarifa lazima zimfikie yeye wa kwanza...
Huyo jamaa achana naye, manake kwanza hajui kutoka ferry hadi navy kuna umbali wa kiasi gani..je walipewa taarifa mapema...


Lkn nchi yetu ya raha sana...watu mtandaoni wanavyojieleza hadi nai feel walai...yule mara navy, mwengine ywawalaumu KFS mpka wengine wanayalaumu mashirika ya ma divers wa kibinafsi...
Kuna wanaomlaumu rais pia...yani kenya yetu rahaa sana
 
haha hiyo ni shida yake binafsi ila kiufupi tu ni ameshindwa kujiongeza na amesaidiwa ubunifu na fulani ingawa si sawa hata kisheria.
Huyu jamaa ni jipu. Kuna siku aliibuka na lingine ambalo aliliiba kwa mkenya mwingine kutoka kule K'Ogelo. [emoji1] Farmajo Care.
Farjamo-care-696x668.jpg
 
If thats the only pressurization chamber around, our neighbours in the south must be paying us good money, unless hawana divers
 
Wakenya tembeeni kifua mberee! Nakumbuka krismasi na mwaka mpya 2016/17, rais U.Kenyatta alipotoa kadi ya heri na fanaka za sikukuu. Kama ilivyo utamaduni kila mwaka kwenye ikulu ya Kenya. Kadi ambayo iliibua hisia nyingi sana mitandaoni, kwasababu ya 'animation' ya Ml. Kenya kwenye 'background', ambayo watz walidai ni Ml. Kili. Anyway, siku chache baadaye JPM naye aliibuka na kadi yake: Kutoka ikulu ya Kenya, 23/12/2016.
img-20151228-wa0033-jpg.451381
Kutoka ikulu ya Tz, 28/12/2016.
56a29eb556050bebb5f67822e39bd074.jpg
Somalia. Hii ya rais Farmaajo ndio imeua kabisa. [emoji1][emoji1][emoji1] Kushoto: Rais U.K na agenda yake ya Big4, 12/12/2017. Kulia: Rais Farmaajo na Copy & Paste yake, 02/02/2019.
CopyPaste.png
https://menafn.com/1098061383/Villa...-Kenyattas-Big-Four-Presenting-It-As-Farmajos
No wonder we always lead Tanzania by far in the annual innovation index kwa mengine mengi zaidi ya haya.
 
Endelea kufuatilia comment za wakenya na kuzifuata...
Kemu jaribu hta sai uka komenti kitu negative kuhusiana na hyo habari hko twitter uone vile utaangukia pua...
Alafu mkiambiwa hamna utu mnamind, navy wenu wapo baharini wanaranda randa tu
 
Back
Top Bottom