pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wakenya tembeeni kifua mberee! Nakumbuka krismasi na mwaka mpya 2016/17, rais U.Kenyatta alipotoa kadi ya heri na fanaka za sikukuu. Kama ilivyo utamaduni kila mwaka kwenye ikulu ya Kenya. Kadi ambayo iliibua hisia nyingi sana mitandaoni, kwasababu ya 'animation' ya Ml. Kenya kwenye 'background', ambayo watz walidai ni Ml. Kili. Anyway, siku chache baadaye JPM naye aliibuka na kadi yake: Kutoka ikulu ya Kenya, 23/12/2016.
Kutoka ikulu ya Tz, 28/12/2016.
Somalia. Hii ya rais Farmaajo ndio imeua kabisa. [emoji1][emoji1][emoji1] Kushoto: Rais U.K na agenda yake ya Big4, 12/12/2017. Kulia: Rais Farmaajo na Copy & Paste yake, 02/02/2019.
https://menafn.com/1098061383/Villa...-Kenyattas-Big-Four-Presenting-It-As-Farmajos