Taka ni ajira tena inayolipa sana! Kuna maisha huko kwenye taka... Kuna ajira nyingi kwenye taka.. Taka ni ajira....!!!Mkuu Mshana ni kwamba watu tunakosa tu ubunifu. Yaani pesa inatupwa jalalani halafu tunalalamika maisha magumu! Mimi nimeanza pia kuangalia Kwa umakini sana eneo hili la urejeleshaji (recycling) na Nina project ndogo. Vitu vingi tunavyotupa vinaweza kurejeleshwa na kuokoa energy kubwa inayotumika Kwa mfano kufanya smelting ya steel from the ores na kupunguza uchafuzi wa mazingira.
Taka ni pesa tupu tena pesa ndefu maana inapatikana Kila mahali na mara nyingi gharama ni usafirishaji tuTaka ni ajira tena inayolipa sana! Kuna maisha huko kwenye taka... Kuna ajira nyingi kwenye taka.. Taka ni ajira....!!!
Jaribu kutumia browser kule hili tatizo halipoMaxence Melo na JamiiForums ona hapa, uzi mzuri sana, lakin tunashindwa kuona picha. Tatizo ni mwez sasa kwa sisi tunaotumia app za adroid, lakin bado hamna majibu mpka saaa
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Kama tungeweza kutengeneza kikundi hapa (naamini kuna siku itawezekana) tukajipanga vema.. Kuna fursa nyingi sana kwenye malighafi zinazoitwa takatakaTaka ni pesa tupu tena pesa ndefu maana inapatikana Kila mahali na mara nyingi gharama ni usafirishaji tu
Browser naona ni usumbufu, nishazoea hii, na kamaa Maxence Melo na jamii forum wanaona wameshindwa kutatua hili tatuzo ni bora wa ifute tu... Tutumie wote browserJaribu kutumia browser kule hili tatizo halipo