Ubunifu wenye kipato na ajira

Ubunifu wenye kipato na ajira

Mkuu Mshana ni kwamba watu tunakosa tu ubunifu. Yaani pesa inatupwa jalalani halafu tunalalamika maisha magumu! Mimi nimeanza pia kuangalia Kwa umakini sana eneo hili la urejeleshaji (recycling) na Nina project ndogo. Vitu vingi tunavyotupa vinaweza kurejeleshwa na kuokoa energy kubwa inayotumika Kwa mfano kufanya smelting ya steel from the ores na kupunguza uchafuzi wa mazingira.
 
Taka ni ajira tena inayolipa sana! Kuna maisha huko kwenye taka... Kuna ajira nyingi kwenye taka.. Taka ni ajira....!!!
 
Wale wajinga wanaopelekaga hela kwenye kamari waache mara moja huo ujinga na wachangamkie hii idle kwa kutumia hela zao kuwekeza kwa vitu vilivyotumika.

Ubarikiwe sana Mshana Jr
Plumbing material
FB_IMG_1683777994574.jpg
 
Back
Top Bottom