Mkuu Mshana ni kwamba watu tunakosa tu ubunifu. Yaani pesa inatupwa jalalani halafu tunalalamika maisha magumu! Mimi nimeanza pia kuangalia Kwa umakini sana eneo hili la urejeleshaji (recycling) na Nina project ndogo. Vitu vingi tunavyotupa vinaweza kurejeleshwa na kuokoa energy kubwa inayotumika Kwa mfano kufanya smelting ya steel from the ores na kupunguza uchafuzi wa mazingira.