Ubunifu zero kabisa kupeleka makasha kwala, hatunaga watu wa mipango nchi hii

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Yaan unapeleka makasha kwala yaan “Tunayapeleka moja kwa moja Morogoro maana hata yakishuka Kwala bado yatafika Vigwaza na kuendeleza foleni ileile ya kuja Dsm na kuelekea Morogoro. WASOMI NA UPEMBUZI YAKINIFU🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭

Si afadhali kufungua ICD Dodoma ( Halfway to DRC, Burundi , Rwanda na Uganda), increase market share on transit goods, protect your roads, enjoy geographical location of Dodoma by boosting business of CBUs like Kigoma, Mwanza, Tabora, Singida, Geita etc. Swali linabaki malori haya yanamilikiwa na nani?

Haya mmiliki wa malori mnamjua???

Britanicca

🤣🤣🤣 Hapo inategemea mwenye deal
 
kwanza ndio itakuwa bandar kavu kubwa ya kwanza TZ.
Dar kuna bandar kavu zaid ya 10 lakin hazikidhi uwezo wa kupokea na kuhifadhi kontena zote.

Na pia Kwala haiko mbali sana na Bandar kuu. Labda km 80+.
Pia itahifadh na makontena ya bandar zote 2(+ bandar ya Bagamoyo).

Makontena yatakuwa yanapelekwa na Tren na kuanzia pale ndio Malori yatachukua makontena baada ya kulipiwa ushuru na mambo mengne ya forodha kukamililika.

Kwahiyo timing ya kujenga Bandar Kavu Kwala. Kwa maoni yangu naona sio mbaya.

Sema mradi unasua sua sana kukamilika.
 
Hii ya Kwala, ilikuwa , iendane na mizigo kusafirishwa na train , sasa tatizo plan za muuendelezo w sgr na hiyo meter gauge, ina hujumiwa na wenye Malori na waliojipachika madarakani
 
Yaan unapeleka makasha kwala yaan “Tunayapeleka moja kwa moja Morogoro maana hata yakishuka Kwala bado yatafika Vigwaza na kuendeleza foleni ileile ya kuja Dsm na kuelekea Morogoro. WASOMI NA UPEMBUZI YAKINIFU🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭

Si afadhali kufungua ICD Dodoma ( Halfway to DRC, Burundi , Rwanda na Uganda), increase market share on transit goods, protect your roads, enjoy geographical location of Dodoma by boosting business of CBUs like Kigoma, Mwanza, Tabora, Singida, Geita etc. Swali linabaki malori haya yanamilikiwa na nani?

Haya mmiliki wa malori mnamjua???

Britanicca

kwala ni sawa kwa watu wa kaskazin
 
kwanza ndio itakuwa bandar kavu kubwa ya kwanza TZ.
Dar kuna bandar kavu zaid ya 10 lakin hazikidhi uwezo wa kupokea na kuhifadhi kontena zote.

Na pia Kwala haiko mbali sana na Bandar kuu. Labda km 80+.
Pia itahifadh na makontena ya bandar zote 2(+ bandar ya Bagamoyo).

Makontena yatakuwa yanapelekwa na Tren na kuanzia pale ndio Malori yatachukua makontena baada ya kulipiwa ushuru na mambo mengne ya forodha kukamililika.

Kwahiyo timing ya kujenga Bandar Kavu Kwala. Kwa maoni yangu naona sio mbaya.

Sema mradi unasua sua sana kukamilika.
Reli ya Bagamoyo kwenda Kwala ipo kwenye mipango ya serikali?
Mkataba wa bandari ya Bagamoyo unaruhusu ujenzi wa hiyo reli?
 
Utakuwepo kwenye mipango ya mbeleni sana.
Kwala ICD ina Ekar 500+.
Kwa sasa zilizofyekwa ni ekar 60 na zilizowekewa miundo mbinu ni eka 5.

Kwala ni mpango mkubwa na endelevu.

bandar ya Bagamoyo nimeanza kuisikia Tangu kupind cha Kwanza cha Kikwete. Ila sasahiv miaka unayoyoma na bado mrad unasua sua.

Mipango iko . Sera , Siasa na resources allocation ndio tatizo. Na sidhan kama rasilimali fedha ni shida namna hata kushindwa kupeleka mrad wa Bandar ya Bagamoyo mdogo mdogo kwa miaka 5 ili ukamilike.
 
Vitu vya kuvutia Bandari ya Bagamoyo bado Sana, hivyo hiyo Bandari itakuwa ni ya hasara. Mpaka train ukiisha kuwa na ufanisi WA kutosha ndio wenye viwanda vya Bagamoyo na Bandari itakuwa na faida
 
Samaki huoza kuanzia kichwani. Kama kichwa kilitaga O Level unategemea nini kama siyo uozo kwa serikali nzima.
 
Pale Isaka napo ICD imefufuliwa,kuna ujenzi na maboresho makubwa sana yamefanyika hata Kwala haiingii na tayari kuna malori ya Rwanda yameanza kuishia hapo!!
 
Yaan unapeleka makasha kwala yaan “Tunayapeleka moja kwa moja Morogoro maana hata yakishuka Kwala bado yatafika Vigwaza na kuendeleza foleni ileile ya kuja Dsm na kuelekea Morogoro. WASOMI NA UPEMBUZI YAKINIFU🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭

Si afadhali kufungua ICD Dodoma ( Halfway to DRC, Burundi , Rwanda na Uganda), increase market share on transit goods, protect your roads, enjoy geographical location of Dodoma by boosting business of CBUs like Kigoma, Mwanza, Tabora, Singida, Geita etc. Swali linabaki malori haya yanamilikiwa na nani?

Haya mmiliki wa malori mnamjua???

Britanicca

Dodoma ndiyo njiapanda ya kwenda Malawi, Zambia, Kongo, Rwanda na Burundi, lakini wenye malori ndio viongozi wetu wakuu.
 
Back
Top Bottom