Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Tatizo la Arsenal ni kuwepo north London...ni maeneo ya watu wastaarabu na wa Maisha ya juu...na Mzee Wenger ana take advantage kwa kuwa hakuna hooligans kama wa LIVERPOOL.Chalsea nk....ni wakati wa Wenger kuondoka
 
Sijakuelewa kwaiyo ligi bora ni ipi?na kufungwa kwa barca sio zambi ni moja kati ya matokeo ya mchezo tu
 
sevila na bilbao unawakumbuka,?[emoji1] [emoji1] [emoji1]

hapo bado ATLETICO mbabe wa yokobus
Man u kafungwa na athletoc bilbap mara 1 hiyo haitoshi kujaji bado, halafu mwala huo huo man city walitoka kwa kufungwa na sporting lisbon, kwa hiyo hapo tuseme lugi ya portugal pia ni nzuri?
Sevilla wamechukua EUROPA kwa kuwa kwenye ligi yao walikuwa hata usaba hawashiki wana shika unanae so walikuwa wana focus kwa Eropa kwa nguvu zote.
 
maelezo yako yamethibitisha la liga ipo juu
 
Naona umeamua kujaza pumba tupu hapa. Unawezaje kusema EPL ligi mbovu? Kwanza unajua ubora wa league upoje?

Kuna ligi duniani kama EPL? Hata timu kubwa za EPL hazina uhakika wa kushinda mechi zote ndani ya ligi.

Bundesliga ni ligi ya timu moja tu, wachezaji wote wana ndoto za kucheza Bayern Munich.

La liga ni ligi ya timu mbili tu, hata ukiangalia makombe mengi yamechukuliwa na Barca na Madrid.
 
maelezo yako yamethibitisha la liga ipo juu
Bas una hang over ya 4-0 wewe

Nime eleza kuwa, kuto kuwa na ushindani, na kuwa ratiba nyepesi kuna wasaidia watu wa la liga
 
Umejaza ma team ya EPL ova ni bora hapo Ila hakuna kitu, hapo naona umefuata mahaba na sio umakini
Hebu nitajie katika nlizozitaja ipi ama zipi kutoka uingereza ni club ndogo kuliko PSG?
 
Mtu akisema ligi ya Uingereza ni bora kuliko ya hispania huwa nacheka sana. Hahahaaaa yani kuna watu wamejaliwa kuchekesha.
 
Reactions: PNC
Ligi ya ushindani bora ni england
Ligi boraa na kuwa na timu bora ni spain
Ligi maarufu ni england
Hapo umemaliza kila kitu. ENGLAND INAONGOZA KWA USHINDANI NA UMAARUFU LAKINI KWA LIGI BORA NA YENYE WACHEZAJI/ TIMU BORA NI HISPANIA.

ukitaka kuamin hispania ni ligi bora- ubingwa champions league na europa ni wao, mchezaji bora wa dunia ni wao, kikosi bora cha mwaka ja dunia ni wao tu. hawa barca na madrid hata wakihamishiwa ligi ya nchi yoyote bado watatamba. Hata pia tukiwachukua Atletico madrid na Sevila na kuwaleta uingereza still watatamba. Hata hao mabingwa wenu Leicester tuwapambanishe na valencia bado wataliwa nyingi.
 
Yaani ni kama kunilazimisha kumsikiliza Songa , Nash Mc na Wakazi kwa kile wakiitacho ubora (Nguzo za hip hop) niache kumsikiliza Darassa.
Haya mambo ya kutafuta ubora kwenye burudani hasa kwa walaji ( watazamaji na wasikilizaji) hutufanya tuongee yale mioyo yetu haipendi...

Hutufanya tuwe wanafiki tuu ili tuonekane tupo ' real '

Ukweli ni kwamba PL inatuvuta wengi kama muziki ya Darassa huku La liga ikiwa na vingi pia japo havituvutii wengi ikiwa na ratiba zao za mechi kuanza muda mbovu....
 
Nashukuru na ww umemaliza kila kitub
 
Mtoa mada ni kiaz, anatumia mfano wa Barcelona kupigwa na PSG kudharau laliga, hatumii arsenal kuiongelea epl.
Kwetu tunapenda sana viazi na mtindi wa ushirika , game ya psg inathibitisha utafiti nilioufanya kwa miaka mingi .
 
Hapo amekumbushwa mtoa mada kwamba Barcelona kupigwa na PSG hafanyi laliga kuwa mbovu kama alivyodai
Kipigo cha Barcelona ni kiambatanisho kidogo sana kwenye utafiti wangu , wala siyo chanzo cha utafiti .
 
Tafadhali nakuomba sana kwenye list ya timu zako kubwa ondoa Arsenal na Chelsea au unipe vigezo unavyozingatia kuita hizo timu timu kubwa labda ntakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…