Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli,arsenal tumekula gwala kwa moko jana tena kiulaiiini tuEPL ndio ligi bora kwa kuwa ina ushindani.
Man u kafungwa na athletoc bilbap mara 1 hiyo haitoshi kujaji bado, halafu mwala huo huo man city walitoka kwa kufungwa na sporting lisbon, kwa hiyo hapo tuseme lugi ya portugal pia ni nzuri?sevila na bilbao unawakumbuka,?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
hapo bado ATLETICO mbabe wa yokobus
Hiko hakipimi ligiSio kweli,arsenal tumekula gwala kwa moko jana tena kiulaiiini tu
maelezo yako yamethibitisha la liga ipo juuMan u kafungwa na athletoc bilbap mara 1 hiyo haitoshi kujaji bado, halafu mwala huo huo man city walitoka kwa kufungwa na sporting lisbon, kwa hiyo hapo tuseme lugi ya portugal pia ni nzuri?
Sevilla wamechukua EUROPA kwa kuwa kwenye ligi yao walikuwa hata usaba hawashiki wana shika unanae so walikuwa wana focus kwa Eropa kwa nguvu zote.
Bas una hang over ya 4-0 wewemaelezo yako yamethibitisha la liga ipo juu
Hebu nitajie katika nlizozitaja ipi ama zipi kutoka uingereza ni club ndogo kuliko PSG?Umejaza ma team ya EPL ova ni bora hapo Ila hakuna kitu, hapo naona umefuata mahaba na sio umakini
4:0 inahusika vipBas una hang over ya 4-0 wewe
Nime eleza kuwa, kuto kuwa na ushindani, na kuwa ratiba nyepesi kuna wasaidia watu wa la liga
Hang over4:0 inahusika vip
Waingereza tunapenda ligi yao kwakuwa walitutawala ndo maana.EPL iwe Mbayaa iwe mbovuuu iwe Na Tm Mbovu lakin Hamuach kwenda vibanda umiza kuziangali hzo hzo !!!
Hapo umemaliza kila kitu. ENGLAND INAONGOZA KWA USHINDANI NA UMAARUFU LAKINI KWA LIGI BORA NA YENYE WACHEZAJI/ TIMU BORA NI HISPANIA.Ligi ya ushindani bora ni england
Ligi boraa na kuwa na timu bora ni spain
Ligi maarufu ni england
Nashukuru na ww umemaliza kila kitubHapo umemaliza kila kitu. ENGLAND INAONGOZA KWA USHINDANI NA UMAARUFU LAKINI KWA LIGI BORA NA YENYE WACHEZAJI/ TIMU BORA NI HISPANIA.
ukitaka kuamin hispania ni ligi bora- ubingwa champions league na europa ni wao, mchezaji bora wa dunia ni wao, kikosi bora cha mwaka ja dunia ni wao tu. hawa barca na madrid hata wakihamishiwa ligi ya nchi yoyote bado watatamba. Hata pia tukiwachukua Atletico madrid na Sevila na kuwaleta uingereza still watatamba. Hata hao mabingwa wenu Leicester tuwapambanishe na valencia bado wataliwa nyingi.
Kwetu tunapenda sana viazi na mtindi wa ushirika , game ya psg inathibitisha utafiti nilioufanya kwa miaka mingi .Mtoa mada ni kiaz, anatumia mfano wa Barcelona kupigwa na PSG kudharau laliga, hatumii arsenal kuiongelea epl.
Hapo amekumbushwa mtoa mada kwamba Barcelona kupigwa na PSG hafanyi laliga kuwa mbovu kama alivyodaiHiko hakipimi ligi
Alafu uwa mnakula 5 ni kawaida yenu.
Kipigo cha Barcelona ni kiambatanisho kidogo sana kwenye utafiti wangu , wala siyo chanzo cha utafiti .Hapo amekumbushwa mtoa mada kwamba Barcelona kupigwa na PSG hafanyi laliga kuwa mbovu kama alivyodai
Tafadhali nakuomba sana kwenye list ya timu zako kubwa ondoa Arsenal na Chelsea au unipe vigezo unavyozingatia kuita hizo timu timu kubwa labda ntakuelewa.we mwenyeo utakuwa kilaza. PSG timu kubwa kakwambia nani? kwa sababu ya mapesa ndio unasema timu kubwa? basi kama ni ivo china sasa kuna timu kubwa basi nako. Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio sio pesa zao. mimi ni mhasimu wa arsenal lakini huwezi kufanananisha PSG na Arsenal wewe. Arsenal ipo juu ya PSG sana tu. Yaani fluke ya kumfunga barca izo nne ndio PSG ishakuwa timu kubwa? Duh! Yaani zinapotajwa timu kubwa duniani ni hizi Barca, Real Madrid, Manutd, Chelsea, Arsenal, Liverpool..... ata man city haimo! PSG is looking for attention kama zilivo timu za china na USA, bahati mbaya hawaipati.... mana outside UEFA no one wastes their time with french teams!