Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Kama haujui kaka ,ligi ya england ni ligi maarufu na lig ya spain ni ligi boraa

Nikupe mtihani kidogo. Katika ligi ya england wakae kikao timu zote 20 na waseme katika sisi timu 20 tuchague club bora kati ya hizo 20 na ikacheze na barcelona au real madrid timu gan yenye uhakika england itaaminiwa kwa ubora zaid
Kuna tofauti kati ya timu bora na ligi bora timu bora 2 zipo spain ila ligi bora ni epl.
 
Kuna tofauti kati ya timu bora na ligi bora timu bora 2 zipo spain ila ligi bora ni epl.

Najua umekosa mwelekeo,
Nipe takwimu muhimu tatu kati ya hizo Ligi mbili zikionesha EPL ni ligi bora.

Cos ndio nyie mnaobishana na Dunia
 
Timu inayoshika nafasi ya 3 La Liga imeifunga timu inayopambana kutoshuka daraja Epl goli 2-1.

Kumbuka Team hiyo ni sevilla iliyomfunga Bingwa mtetezi wa Ligi ya Epl pia ni team bora iliyochukua michuano ya Europa Mfululizo mbele ya Team kubwa za England zilizokuwa zikiwania nafasi tatu bora Epl

Sasa sijui unataka nini tena
 
Bingwa wa England kapigwa na team iliomaliza nafasi ya 7 la liga..kwenye round ijayo kuna dalili za la liga kuingiza team tatu.
Italy team 1, England 1, ufaransa 1, Germany 1.
Tuipe heshima la liga

Heshima yako Mkubwa
 
Kamfunga mara ngapi..??
Halafu sidhani kama unafuatilia mechi za Ujeruman au spain au france.
Ushasema hudhani!! Mechi za la liga nafuatilia kwa maana mimi ni madridista.
Halafu kama nafuatilia au sifuatilii whats the point?
Bado haiondoi pint yangu kuwa barca kachukua La liga mara 6 jati ya miaka nane ya mwisho
Wakat bayern kachukua mara 4 na now anaenda kuchukua mara ya 5 mfululizo.

EPL tangu mwaka 2009/10 hakuna tu alowahi nanyua ubingwa mara mbili mfululizo.
Hakuna top 4 iliyokuwa consitent mara 2 mfululizo.

Data zonaongea kabsa
 
Kumbuka Team hiyo ni sevilla iliyomfunga Bingwa mtetezi wa Ligi ya Epl pia ni team bora iliyochukua michuano ya Europa Mfululizo mbele ya Team kubwa za England zilizokuwa zikiwania nafasi tatu bora Epl

Sasa sijui unataka nini tena

Sevilla iliyomaliza nafasi ya 7 msimu uliopita iliifunga Liverpool iliyomaliza nafasi ya 9 msimu uliopita. Na sasa inashika nafasi ya 3 imeifunga timu inayoshika nafasi ya 17 goli 2-1
 
Sevilla iliyomaliza nafasi ya 7 msimu uliopita iliifunga Liverpool iliyomaliza nafasi ya 9 msimu uliopita. Na sasa inashika nafasi ya 3 imeifunga timu inayoshika nafasi ya 17 goli 2-1
Hata Usibishane nao tushawazoea hawa Na sidhan kama hata wanaangalia hyo lig wao wanayoiita ligi boraa

Hiv kweli mtu unashangaa sevilla kumfunga leciester Wakati mtu kwenye ligi huku anapigwa kila kukichaaa

EPL itabaki kuwa ligi Maarufu na LIGI pendwa DUNIANI Mpaka mwsho wa Dunia [HASHTAG]#OVEEEEER[/HASHTAG]
 
Ushasema hudhani!! Mechi za la liga nafuatilia kwa maana mimi ni madridista.
Halafu kama nafuatilia au sifuatilii whats the point?
Bado haiondoi pint yangu kuwa barca kachukua La liga mara 6 jati ya miaka nane ya mwisho
Wakat bayern kachukua mara 4 na now anaenda kuchukua mara ya 5 mfululizo.

EPL tangu mwaka 2009/10 hakuna tu alowahi nanyua ubingwa mara mbili mfululizo.
Hakuna top 4 iliyokuwa consitent mara 2 mfululizo.

Data zonaongea kabsa

Ndio maana nasema hivi hamuwezi kulinganisha hizo ligi ni vitu kama mia ambavyo ni tofauti sana, Spain Kuchukuliwa na Barca au Madrid au Atletico, ni kwasababu ndio Team zinaweza kusajili watu wakubwa na wenye uwezo spain, ndivyo ilivyo Germany au France na pia England.
Ila Unapozungumzia ubora au Ubutu wa ligi ni pale ligi zote zinapokutana na kushindana. sasa swali langu kwako ni hili hapa na ukishindwa kujibu hili swali Basi wewe si Mshindani;

Ndani ya Miaka mitano, Team gani ya EPL iliyobeba EUFA au EUROPA na mara ngapi..??
 
Sevilla iliyomaliza nafasi ya 7 msimu uliopita iliifunga Liverpool iliyomaliza nafasi ya 9 msimu uliopita. Na sasa inashika nafasi ya 3 imeifunga timu inayoshika nafasi ya 17 goli 2-1

Naomba ni kujibu ki soccer + takwimu +Ubora zaidi

Tottenham ilikuwa ya 3 kumaliza kwenye Msimu uliopita ila ilitolewa na Dortmund nayo ilikuwa ya 2 kumaliza kwenye ligi yao. tuko hapo..?
Liverpool ilikuwa ya tisa kumaliza ila ilifanikiwa kuitoa Dortmund kwenye michuano hiyo na kukutana na Sevilla ambayo ilikuwa ya saba kumaliza kwenye ligi yao na kufanikiwa kuchukua Europa.

Je Team gani iliyo bora kati ya hizo na ligi ipi bora..???
 
Hata Usibishane nao tushawazoea hawa Na sidhan kama hata wanaangalia hyo lig wao wanayoiita ligi boraa

Hiv kweli mtu unashangaa sevilla kumfunga leciester Wakati mtu kwenye ligi huku anapigwa kila kukichaaa

EPL itabaki kuwa ligi Maarufu na LIGI pendwa DUNIANI Mpaka mwsho wa Dunia [HASHTAG]#OVEEEEER[/HASHTAG]

Unasahau kwamba EUFA ni Michuano inayowakilishwa na TEAM bora katika Ligi mbali mbali akiwemo Leciester kutoka EPL,
Ila Sevilla alikuwa wa 7 kwenye ligi ya spain, na kuingia EUFA kupitia Europa
 
apo ndo kuna ushindanii ukiona hata timuu isiyodhaniwaa kuchukua ubingwaa ikachukuaa hebuu fungukaa mkuu ukiona hivoo hio sio ligi ya timuu kadhaa ni ya wote kwa maana bingwaaa hajulikanii sio kamaa Spain bingwaa mnajua kabisaaa aspokua real Madrid basii ni watoto wa catulunya kama sio hao ni atletico Madrid over asa epl haitabirikii hio ndo fact ya kua EPL ni ligii yenyee ushindanii ndanii yakeee
Viwangoless mnashindani nyinyi kwa nyinyi na ndo maana UEFA na Europa mnapotea vibayaa
 
Timu inayoshika nafasi ya 3 La Liga imeifunga timu inayopambana kutoshuka daraja Epl goli 2-1.
Sasa team mbovu Inayopambana kutoshuka daraja kama leisester kuchukua ligi nyie mnaona ni ushindani ila sisi tunaona ni ubovu wa ligi. Bingwa mtetezi wa la liga Barcelona kwasasa yupo katika kiwango kibovu kuwahi kutokea kwenye miaka 10 iliopita ila haiwezi kufungwa na team ya 7 epl (west ham). Real Madrid ni kati ya team bora ulaya ila hajachukua ubingwa wa laliga wanamwaka wa 8 sasa, wakati huko epl mtu yoyote anachukua tu ligi hata Leicester. Kama Madrid hawawezi kuchukua ubingwa wa la liga kuna team gani ya epl itaweza?
 
Madrid inayoongoza La liga imefungwa na timu inayopambana kutoshuka daraja
 
Unasahau kwamba EUFA ni Michuano inayowakilishwa na TEAM bora katika Ligi mbali mbali akiwemo Leciester kutoka EPL,
Ila Sevilla alikuwa wa 7 kwenye ligi ya spain, na kuingia EUFA kupitia Europa
Ubishi wako uko mbioni kumalizika .
 
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .

Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.

Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .

Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .

....... Itaendelea ........
Ligi ikiwa bora haimaanishi kwamba timu zake hazifungwi,tuambie ligi ipi ni bora na vigezo vyake pia
 
Huna hoja muhimu
Na mada yako hapo juu ni bora ufute cos haina Mashiko
Mimi ni mchambuzi wa soka wa kimataifa na pia ni mfadhili wa Simba , nimekwisha sema ubishi wako unaelekea kwisha , endelea kubaki hapahapa Jf .
 
Naongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.
Kuwa na two giants hakumaanishi ndio ligo bora.
Pia
Chelsea huwa ana mfunga barcelona sana tu
Ushindani unaozungumzia ni wa nani na nani?kukamiana kwa timu za england hakufanyi ligi yao kuwa bora
 
Back
Top Bottom