Ubutu wa Primera Liga waanza kuthibitika

Makengeza kitu kibaya sana...yaani unasema shule x ni bora kisa wanabadilishana nafasi za juu kuzidi shule y ambapo nafasi za juu kuna wanafunzi wanafanya vizuri na kustahili kukaa hapo.

Lakini inapokuja mtihani wa taifa shule y inaizidi shule x kwa matokeo zote ya mmojammoja na ya jumla.
 
Kufika hatua ya robo fainali na kuendelea hizi timu za spain zinatinga kwa wingi kuliko za england katika mashindano mengi wanazoshiriki.

Kuchukua ubingwa wanachukua timu za spain kwa wingi kuliko timu za england. Sasa mtoa mada unataka kuzilinganisha kwa umaarufu au ubora?

Kama ubora laliga ni bora kuliko england kuanzia wachezaji bora...washindi wa tuzo za mchezaji bora..vikombe vingi

Ligi ya england inabaki kua maarufu ndo maana wachezaji wanaotaka kujenga jina wanatamani kucheza england then wakishajenga jina wanataka waelekee spain kuzoa medali na kujijengea historia kama sehemu ya kumbukumbu.
 
Utafiti wako umeufanya katika eneo gani.umeangalia dunia nzima au tanzania tu?.Mimi ninavyoona kama mdau wa soka wa siku nyingi ni kwamba ligi bora kabisa ulimwenguni ni (1) Laliga,(2)Bundesliga,(3)Epl.ligi ya uingereza ni maarufu tu kwasababu ya media kama ilivyo hapa bongo.Umetoa mfano mfu kwasababu umeangalia upande mmoja wakati hizo ligi ziko miaka mingi nyuma.Kufungwa kwa timu haiondoe ubora wa ligi kwasababu mechi zinatofautiana.Nenda kaanze tena utafiti wako ukianza na historia za hizo ligi.Na ukitaka kuangalia soka lenye vionjo nenda kacheki ligi ya brazil,argentina na uholanzi.alafu urudi tena utuambie ligi bora ni ipi.
 
apo ndo kuna ushindanii ukiona hata timuu isiyodhaniwaa kuchukua ubingwaa ikachukuaa hebuu fungukaa mkuu ukiona hivoo hio sio ligi ya timuu kadhaa ni ya wote kwa maana bingwaaa hajulikanii sio kamaa Spain bingwaa mnajua kabisaaa aspokua real Madrid basii ni watoto wa catulunya kama sio hao ni atletico Madrid over asa epl haitabirikii hio ndo fact ya kua EPL ni ligii yenyee ushindanii ndanii yakeee
Hii ni sawa na baba kujisifu tajiri duniani kwa kujilinganisha na mke na watoto wake. Inawezekana wakawa na ushindani lakini umejaribu kuangalia kwa level ipi? Ushindani wa EPL upo ila Quality ya timu ni mbovu na hii ndio sababu hawawezi kubweka nje ya Uingereza. EPL is competitive kwenye kiwango cha chini.. Real Madrid na Baca are giant sio kwa Laliga pekee bali duniani.
 
Toka nijiunge jamiiforum natimiza mwaka ila leo uyu jamaa aliye to a mada na mwambia kafeli uzi ni was kipumbavu kwel anajiita mcgambuzi haend kwa fact naona utumbo tu
 
Tafiti hupingwa kwa tafiti , hazipingwi kwa mapovu .
 
VILLAREAL OUT
ATHLETC BILBAO OUT

EUROPA LEAGUE TUNAENDELEAA
Ni kweli perfomance ya klabu za Spain kwenye michuano ya Ulaya msimu huu imeshuka.Barca,Real Madrid na Atletico hawako kwenye kiwango walichokuwa nacho misimu 4 iliyopita
 
Tuanze hapa kuanzia 2006 mpaka 2016 champion league imeeenda mara ngapi Spain, England nk na kuanzia 2006 mpaka 2016 europa league limeenda wapi mara nyingi
 
Tunaongelea 2017 sio 2006 msimu huu kiwango cha timu za LaLiga kwenye michuano ya Ulaya kimeshuka
 
" Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia
wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi
bora na ngumu kuliko ligi zote duniani"

Umeona hiyo kauli mkuu haya inamaanisha nini?
Unazani kuanzia hiyo 2006_16 Epl limeenda mara mbili na jiulize Spanish limeenda mara ngapi? Katika miaka hiyo Pia Europe league English limeenda sio zaid ya mara Tatu na Spain limeenda mara nyingi
Kati ya Epl na la Liga wapi kuna timu nyingi champions League?
Kufungwa kwa Barcelona msiseme kwamba hakuna kitu tena usijeukapata mshituko akimtoa uyo psg
 
Kwanini unafananisha la liga na epl ?
 
Mafanikio ya Champions league ni cycle ambayo huwa inazunguka nchi mbalimbali kulikuwa na cycle ya Italy ikapotea,ikaja cycle ya England ikapotea,ikaja cycle ya Germany ikapotea ,ikaja cycle ya Spain nayo imeanza kupotea now.Miaka michache iliyopita timu za Spain (kuanzia timu ya taifa na klabu zao,Uropa na Champions league)zilikuwa zinafanya vizuri kwenye michuano ya ulaya lakini mwaka huu perfomance imeanza kushuka,tatizo sio kufungwa tu kwa Barca lakini ni kiwango kinachoonyeshwa na klabu zake msimu huu huwezi linganisha na miaka 4 iliyopita
 
Cycle gani mkuu unaongelea maana kuanzia mwaka 1999/2000 timu za Spain zimetwaa mara 8 taji la Uefa huku uingereza mara 3 na ureno Italy na ujeruman sasa jiulize iyo cycle unayoisema ni ipi mkuu?
 
Cycle ya mafanikio hutokea kipindi ambacho timu za nchi moja zinachukua zinacheza fainali zenyewe au timu kutoka nchi moja zinachukua ubingwa/kucheza fainali misimu 2 ndani ya miaka 3,

Valencia alishawahi kucheza fainali miaka 2 mfululizo licha ya kutochukua ubingwa,AC na Juventus walicheza fainali Old Trafford,Milan alicheza fainali 2 ndani ya miaka 3,Chelsea alicheza fainali na Manchester United,Dortmund alicheza fainali na Bayern Munich na Real Madrid amecheza na Atletico Madrid fainali 2 ndani ya miaka 3
 
Back
Top Bottom