Kuna tofauti kati ya timu bora na ligi bora timu bora 2 zipo spain ila ligi bora ni epl.Kama haujui kaka ,ligi ya england ni ligi maarufu na lig ya spain ni ligi boraa
Nikupe mtihani kidogo. Katika ligi ya england wakae kikao timu zote 20 na waseme katika sisi timu 20 tuchague club bora kati ya hizo 20 na ikacheze na barcelona au real madrid timu gan yenye uhakika england itaaminiwa kwa ubora zaid
Kuna tofauti kati ya timu bora na ligi bora timu bora 2 zipo spain ila ligi bora ni epl.
Timu inayoshika nafasi ya 3 La Liga imeifunga timu inayopambana kutoshuka daraja Epl goli 2-1.
Bingwa wa England kapigwa na team iliomaliza nafasi ya 7 la liga..kwenye round ijayo kuna dalili za la liga kuingiza team tatu.
Italy team 1, England 1, ufaransa 1, Germany 1.
Tuipe heshima la liga
Ushasema hudhani!! Mechi za la liga nafuatilia kwa maana mimi ni madridista.Kamfunga mara ngapi..??
Halafu sidhani kama unafuatilia mechi za Ujeruman au spain au france.
Kumbuka Team hiyo ni sevilla iliyomfunga Bingwa mtetezi wa Ligi ya Epl pia ni team bora iliyochukua michuano ya Europa Mfululizo mbele ya Team kubwa za England zilizokuwa zikiwania nafasi tatu bora Epl
Sasa sijui unataka nini tena
Hata Usibishane nao tushawazoea hawa Na sidhan kama hata wanaangalia hyo lig wao wanayoiita ligi boraaSevilla iliyomaliza nafasi ya 7 msimu uliopita iliifunga Liverpool iliyomaliza nafasi ya 9 msimu uliopita. Na sasa inashika nafasi ya 3 imeifunga timu inayoshika nafasi ya 17 goli 2-1
Ushasema hudhani!! Mechi za la liga nafuatilia kwa maana mimi ni madridista.
Halafu kama nafuatilia au sifuatilii whats the point?
Bado haiondoi pint yangu kuwa barca kachukua La liga mara 6 jati ya miaka nane ya mwisho
Wakat bayern kachukua mara 4 na now anaenda kuchukua mara ya 5 mfululizo.
EPL tangu mwaka 2009/10 hakuna tu alowahi nanyua ubingwa mara mbili mfululizo.
Hakuna top 4 iliyokuwa consitent mara 2 mfululizo.
Data zonaongea kabsa
Sevilla iliyomaliza nafasi ya 7 msimu uliopita iliifunga Liverpool iliyomaliza nafasi ya 9 msimu uliopita. Na sasa inashika nafasi ya 3 imeifunga timu inayoshika nafasi ya 17 goli 2-1
Hata Usibishane nao tushawazoea hawa Na sidhan kama hata wanaangalia hyo lig wao wanayoiita ligi boraa
Hiv kweli mtu unashangaa sevilla kumfunga leciester Wakati mtu kwenye ligi huku anapigwa kila kukichaaa
EPL itabaki kuwa ligi Maarufu na LIGI pendwa DUNIANI Mpaka mwsho wa Dunia [HASHTAG]#OVEEEEER[/HASHTAG]
Viwangoless mnashindani nyinyi kwa nyinyi na ndo maana UEFA na Europa mnapotea vibayaaapo ndo kuna ushindanii ukiona hata timuu isiyodhaniwaa kuchukua ubingwaa ikachukuaa hebuu fungukaa mkuu ukiona hivoo hio sio ligi ya timuu kadhaa ni ya wote kwa maana bingwaaa hajulikanii sio kamaa Spain bingwaa mnajua kabisaaa aspokua real Madrid basii ni watoto wa catulunya kama sio hao ni atletico Madrid over asa epl haitabirikii hio ndo fact ya kua EPL ni ligii yenyee ushindanii ndanii yakeee
Sasa team mbovu Inayopambana kutoshuka daraja kama leisester kuchukua ligi nyie mnaona ni ushindani ila sisi tunaona ni ubovu wa ligi. Bingwa mtetezi wa la liga Barcelona kwasasa yupo katika kiwango kibovu kuwahi kutokea kwenye miaka 10 iliopita ila haiwezi kufungwa na team ya 7 epl (west ham). Real Madrid ni kati ya team bora ulaya ila hajachukua ubingwa wa laliga wanamwaka wa 8 sasa, wakati huko epl mtu yoyote anachukua tu ligi hata Leicester. Kama Madrid hawawezi kuchukua ubingwa wa la liga kuna team gani ya epl itaweza?Timu inayoshika nafasi ya 3 La Liga imeifunga timu inayopambana kutoshuka daraja Epl goli 2-1.
Sasa team mbovu Inayopambana kutoshuka daraja kama leisester kuchukua ligi nyie mnaona ni ushindani ila sisi tunaona ni ubovu wa ligi. Bingwa mtetezi wa la liga Barcelona kwasasa yupo katika kiwango kibovu kuwahi kutokea kwenye miaka 10 iliopita ila haiwezi kufungwa na team ya 7 epl (west ham). Real Madrid ni kati ya team bora ulaya ila hajachukua ubingwa wa laliga wanamwaka wa 8 sasa, wakati huko epl mtu yoyote anachukua tu ligi hata Leicester. Kama Madrid hawawezi kuchukua ubingwa wa la liga kuna team gani ya epl itaweza?
Ubishi wako uko mbioni kumalizika .Unasahau kwamba EUFA ni Michuano inayowakilishwa na TEAM bora katika Ligi mbali mbali akiwemo Leciester kutoka EPL,
Ila Sevilla alikuwa wa 7 kwenye ligi ya spain, na kuingia EUFA kupitia Europa
Ligi ikiwa bora haimaanishi kwamba timu zake hazifungwi,tuambie ligi ipi ni bora na vigezo vyake piaKwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa mifano iliyofanyiwa utafiti , tuliishia kusimangwa .
Kipigo cha Barcelona kutoka kwa vibonde PSG ni ushahidi mwingine kwamba soka la spain si lolote , jambo pekee lililojificha ni kwamba , ligi ya spain ina mkusanyiko wa wachezaji wazuri wa dunia ambao kucheza kwao kwa muda kwenye ligi mbovu kumedumaza uwezo wao.
Mifano ni mingi sana , ligi bora haiwezi kuwa na timu bora zisizozidi 5 tu kama siyo 3 , ligi bora ya dunia haiwezekani kuonekana bure bila malipo , ukiacha Tv duni kabisa duniani kama TBC , karibu Tv zingine zote zinaonyesha ligi ya Spain bure kabisa , Azam na Dstv Bomba ni mifano ya karibu .
Timu za Spain zitaendelea kuadhirika zaidi kuanzia sasa na kuvuliwa huo ufalme hewa waliovikwa .
....... Itaendelea ........
Ubishi wako uko mbioni kumalizika .
Ligi ikiwa bora haimaanishi kwamba timu zake hazifungwi,tuambie ligi ipi ni bora na vigezo vyake pia
Mimi ni mchambuzi wa soka wa kimataifa na pia ni mfadhili wa Simba , nimekwisha sema ubishi wako unaelekea kwisha , endelea kubaki hapahapa Jf .Huna hoja muhimu
Na mada yako hapo juu ni bora ufute cos haina Mashiko
Madrid inayoongoza La liga imefungwa na timu inayopambana kutoshuka daraja
Ushindani unaozungumzia ni wa nani na nani?kukamiana kwa timu za england hakufanyi ligi yao kuwa boraNaongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.
Kuwa na two giants hakumaanishi ndio ligo bora.
Pia
Chelsea huwa ana mfunga barcelona sana tu